Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Mimi baada ya kukosa maada hapa Arusha kuna dada anaitwa Yunis yuko Customer Care pale Block 4 Mlimani City ananiambia niende dar akanionyeshe matumizi yangu huyu dada ni -------- sija wahi ona kwanza anajifanya anajua na haki kumsikiliza mteja amebaki kungangania kuwa matumizi yako yako yametumika kwenye data eti 600mb na tshs 30337 ndani ya saa tatu, ------- zenu vodacom waizi wakubwa nyie nije dar kufatilia 30337 au nyie matahira nini mnanilipia gharama mnajua nauli ya arusha - Dar nitalala na wewe nikifika dar, nitakula kwako, nitakunywa kwako, kazi zangu huku utazifanya wewe, hivi wewe yunis unaakili kichwani kwako kweli..nimekuuliza swali dogo tu 30337 ni sawa na kb/mb/gb ngapi? + 600mb...

The so privailling Yunis must be eliminated from the office and completely be ban from dealing with customer care unit in any other service provider!

This is so called reputational risk, ruining it at par implies a total failure/collapsing of internal control.
VodaCom be watchful!
 
wadau vodacom sasa hivi nao ni wanasiasa,nimenunua umeme kwa m-pesa tangu saa mbili mpaka sahvi wamechukua pesa yangu hawajanitumia namba zangu za umeme nawapigia wananipa majibu kama ya mawaziri mizigo,,,ah tanzania kiboko.[/Yalinipata juzi. LUKU iliisha saa 1.30 usiku watoto wakanipigia simu nikanunua umeme kupitia VODA sikupata majibu mpaka saa 11 alfajiri. Tulilala giza. Pesa niliyokuwa nayo ni hiyo tuu. Kwa nini wasingenirudishia pesa yangu kwa wakati nikafikiria utaratibu mwingine. Najiuliza hivi hii ni VODA ileile ya zamani au ni mfano wake?]
 
kusema ukweli......sielewi huko bongo hii mitandao inafanyaje kazi......kwa jinsi mnavyoelezea hapa......gharama za mawasiliano bongo ni KUBWA mno mno mno....sijui ndugu zangu mnawezaje.....ama kweli hiyo ndio bongo.......
 
Heheeeee nyie mlivyokua mnaiba kwa kutumia PD proxy hamkumbuki hata moja vilaza wakubwa
 
kusema ukweli......sielewi huko bongo hii mitandao inafanyaje kazi......kwa jinsi mnavyoelezea hapa......gharama za mawasiliano bongo ni KUBWA mno mno mno....sijui ndugu zangu mnawezaje.....ama kweli hiyo ndio bongo.......

Wala sio kubwa mkuu ni za kawaida kabisa
 
...waliniiibia 17,000 muda wa maongezi,mpaka kesho sina hamu nao matapeli wakubwa hawa waheshimiwa,nimefuatilia kila mtu anasema lake mpaka nimewaachia...
 
Mkuu jana nimepiga simu voda wananiambia kuwa hawawezi kuyaona matumizi ya simu yangu. Nimeibiwa zaidi ya sh. 100000 muda wa maongezi. Nimeamua kuuhama huu mtandao.

Nimeamini watu wayasemayo juu ya wizi wa wazi wa vodacom dhidi ya wananchi wanyonge wa nchi hii.
 
Hili ni tatizo la muda mrefu toka utaratibu wa kupiga simu mitandao yote kuwa na tozo moja mm nimejitoa lkn imenigarimu kuwapoteza marafiki
 
inawezekana wewe umepoozwa tu mimi wameniibia tshs 30337 na 600mb eti wananiambia zimetumika kwenye data ndani ya saa tatu na ni kwenye simu..voda ni waizi..na ninahamia airtel

Hama haraka mkuu, voda kwangu HAPANA.
 
Nadhani ni swala la vigezo na masharti kuzingatiwa.

Kama wamekata according to tariff zao huna chako , pole.
 
wadau vodacom sasa hivi nao ni wanasiasa,nimenunua umeme kwa m-pesa tangu saa mbili mpaka sahvi wamechukua pesa yangu hawajanitumia namba zangu za umeme nawapigia wananipa majibu kama ya mawaziri mizigo,,,ah tanzania kiboko.
Habari ndugu mteja, tafadhali tutumie PM ya namba yako kwa msaada zaidi na pole sana kwa usumbufu uliojitokeza.
 
Habari Gregory,tunahitaji kusaidiana kwa hili,tafadhali tutumie namba PM kwa mawasiliano zaidi,pole sana.

Bora mnavyojitokeza kujibu Matatizo ya wateja...Voda mmebadilika sana kipindi hiki,mmekuwa na matatizo mengi sana katika upande wa
1; INTERNET (Unajiunga dakika 5 bundle yako ishaisha au bado unaendelea kukatwa salio lako au hamtuunganishi kabisa)

2; Unaweka Vocha unakatwa yote kwa kuongea dakika 3 na Vocha ya salio kubwa mfano Elfu kumi)

3: Huduma Zenu za Malipo mfano Luku zinasumbua kama watu walivyolalamika hapo juu...

Kingine kwa nini msianzishe kitengo maalumu cha Malalamiko ya wateja badala ya kuwatumia wale CUSTOMER CARE ambao wengi wanakupa majibu ya kuudhi zaidi au wanakuwa Hawana majibu ya kuridhisha?
 
Zaidi ni kifurushi cha 7000 kwa wiki...

Unapewa sek 21000 kupiga voda kwenda voda na sek 420 mitandao yote...

Vodacom, kazi ni kwako.

hawa wamechoka na hela,naona markerting manager wao ni jasusi lililotumwa kuiua voda, maana mwenye akili timamu hawez fanya hivi, yaaan unafanya protectionism kwenye soko huria within the country, ni mjinga tu pekee anayeweza kufanya hivi
 
Mkuu jana nimepiga simu voda wananiambia kuwa hawawezi kuyaona matumizi ya simu yangu. Nimeibiwa zaidi ya sh. 100000 muda wa maongezi. Nimeamua kuuhama huu mtandao. Nimeamini watu wayasemayo juu ya wizi wa wazi wa vodacom dhidi ya wananchi wanyonge wa nchi hii.
Hivi TCRA mali ya vodacom nini,hili Kampuni linakera sana huduma zake kwa sasa zimekuwa mbovu hakuna..
 
Back
Top Bottom