kadagala1
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 5,941
- 6,213
Mimi mwenyewe najiuliza mana nilinunua gb1 ikaisha naiangalia tu.Sasa hiyo wao wanafaidikaje? Nieleweshe kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwenyewe najiuliza mana nilinunua gb1 ikaisha naiangalia tu.Sasa hiyo wao wanafaidikaje? Nieleweshe kidogo
Inaonekana hivyo!
Ulianza kukatakata sasa ukishamaliza kununua MB hata zile bar zinapotea hapa nina MB800 na zinaenda kudedi[/QUOTE
Sasa tunafanyaje wadau! Na hapa ndipo wanaweza ona comments za watu ili waone tunavyokwazika.
Mtandao ambao uko ambo ambo angalau kwa sasa ni Halotel na kidogo Tigo, hao wengine wako zaidi kwenye 2G na ndo maana inazengua
kmbe sku hz znawahiwa?
Vodacom ni shida, tena shida kubwa. Achilia mbali huko Kenya ulikotuma hata hapa nyumbani ni tatizo kubwa.Huduma za vodacom mpesa now zimekua shida nimetuma pesa tarehe 4/8/2017 zaidi ya siku NNE haijamfikia mlengwa husika kutoka Tanzania to Kenya Leo tarehe 7/8/2017 wananirudishia sms yenye muamala ambao umefanyika tarehe 4 /8/ 2017 but muhusika kenya hajapata sms yoyote ...sijui shida nini hata hao IT wao wanafanya nn wanashindwa kusolve tatizo
..kabla niliwauliza majibu yao
Muamala uko hewani subili kuanzia sasa utapata sms..
Weekend huwa mtandao unasumbua...
Subili ndani ya siku nne..
Majibu hayo najibiwa utafikili pesa nilikosea kutuma wakati nilituma kwa uhakika ..