Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Kama cm yako android wakati unataka kuongeza salio hakikisha umeizima mobile data. Ukiacha on pesa yako italiwa na data na utawalaumu voda kumbe tatizo liko kwenye cm yako
 
Vodacom, nipo maeneo ya pasiansi mwanza.,. Tatizo n internet ambayo haiko stable nina siku ya nne sipati 3G zaidi ya Edge na nimenunua kifurushi cha wiki kinapotea bure maana natumia zaidi internet .,pia kipindi cha nyuma hali huwa hivi hivi mara 3G imekuja mara imekata ., hebu tusaidieni tafadhali kabla hatujahama maana si mimi peke yangu karibu rafiki zangu wote wenye simu tofauti na yangu tatizo n moja kila siku
 
Mwanza maeneo ya pasiansi hatupati 3G kwa siku nne sasa mfululizo na hata ikijaga huwa haiko stable..tusaidieni jaman la sivo tutahamia kule kwa wale jamaa wengine maana wao tatizo la internet hatujawahi kusikia
 
university offer yenu haieleweki eti mtu najiunga nipo chuo naambiwa nipo mbali na eneo je toa maelezo kamili juu ya swala hili tujue offer inawahusu akina nan na wakiwa wap
 
Vodacom mnazingua na huduma zenu za kiboya hasa hii ya SIMU TV, ni wizi mtupu; mie sijawahi kujiunga hiyo huduma na kila cku mnanitumia masms yenu kutoka TBC. Cha kuudhi zaidi mmetaja humu kwenye thread ya mhanga mmoja kama mie kuwa tupige *149*01# kutaletewa hizo options mbona haipo? nitoeni bwana, nimewapigia simu hadi sikio linapata joto hampokei, YA NINI KUHARIBIANA MWAKA MAPEMA HIVYOOOOOOO. Nitoeni bwanaaaaa ahaaaaaaa
 
Tunaoumia na programme na janja za kula hela za wateja za mtandao huu wa voda ni wengi.Unaweza kukuta ama kwa ridhaa yako au na wajanja bila ridhaa yako umeunganishwa na huduma zinazokula salio kwa kiwango kikubwa sana.

Ikiwa unajua waweza kujiondoa kwa kutumia utaratibu uliowekwa kama hujui utakuta hela zikikatwa tu kila uongzapo salio.

Zaidi ni kununua MB ambazo hazishi kwa ame kugongana na mtandao usio na kasi NA PENGINE USIOKUWA HEWANI PALE unapouhitaji.Cha kusikitisha ni uwe UMEUTUMIA MB zako ama hujazitumia muda ulowekwa ukiisha zimepotea kinyemela.
hivyo hivyo.

Hata kama siku hiyo nzima Mtandao haukuwa hewani muda ukiisha hata kama hukultumia muda wa maongezi,MB,na SMS na wingi wake vyote hupotea.

Uendeshaji huduma za kielektroniki kama hizi kwa namna hii ili utondoe ulalamishi huduma zinatakiwa ziwe za uhakika wa asilimia mia.

Nasifu sana utaratibu wa huduma moja ya shirika moja la simu hapa nchini wao SMS ni bure UWE na SALIO au USIWEnalo.

Zaidi ya zaidi MB haziishi kwani waweza kuzilinda kwa kununua nyingine kabla muda wa za awali haujaisha.

Hivi tunafaidika vipi na huduma ya internet kwa kuwa na mkongo wa taifa?Sasa hivi utumiaji wa Mtandao wa internet kwa kutumia 'modem' unaogopwa.Kauli mbiu ya Vodacom ya 'Maisha ni murwa' ukiwa nao kwetu sasa ni kauli ya kushangaza kabisa.

Mimi niko mjini na ninatumia mitandao yote ila ni mpenze na navutiwa na voda ila sasa penzi linapungua.Si ajabu nikahamishia pendo langu kwa mtandao wa wanafunzi ule wa wajanja pale asipokatwa mtu au ule wa wakina yahe.
 
unaoumia na programme na janja za kula hela za wateja za mtandao huu wa voda ni wengi.Unaweza kukuta ama kwa ridhaa yako au na wajanja bila ridhaa yako umeunganishwa na huduma zinazokula salio kwa kiwango kikubwa sana.

Ikiwa unajua waweza kujiondoa kwa kutumia utaratibu uliowekwa kama hujui utakuta hela zikikatwa tu kila uongzapo salio.

Zaidi ni kununua MB ambazo hazishi kwa ame kugongana na mtandao usio na kasi NA PENGINE USIOKUWA HEWANI PALE unapouhitaji.Cha kusikitisha ni uwe UMEUTUMIA MB zako ama hujazitumia muda ulowekwa ukiisha zimepotea kinyemela.
hivyo hivyo.

Hata kama siku hiyo nzima Mtandao haukuwa hewani muda ukiisha hata kama hukultumia muda wa maongezi,MB,na SMS na wingi wake vyote hupotea.

Uendeshaji huduma za kielektroniki kama hizi kwa namna hii ili uondoe ulalamishi huduma zinatakiwa ziwe za uhakika wa asilimia mia.

Nasifu sana utaratibu wa huduma za shirika moja la simu hapa nchini wao SMS ni bure UWE na SALIO au USIWE nalo.

Zaidi ya zaidi MB haziishi kwani waweza kuzilinda kwa kununua nyingine kabla muda wa awali haujaisha.

Hivi tunafaidika vipi na huduma ya internet kwa kuwa na mkongo wa taifa?Sasa hivi utumiaji wa Mtandao wa internet kwa kutumia 'modem' unaogopwa.

Kauli mbiu ya Vodacom ya 'Maisha ni murwa' ukiwa nao kwetu sasa ni kauli ya kushangaza kabisa.


Mimi niko mjini na ninatumia mitandao yote ila ni mpenzi na navutiwa na voda ila sasa penzi linapungua.Si ajabu nikahamishia pendo langu kwa mtandao wa wanafunzi au ule wa wajanja ambao hapo hakatwi mtu au ule wa wakina yahe watokao visiwani.

Umaarufu wa shirika ndio hivyo unaenda kama marekebisho ya haraka hayatafanwa.

KUWENI MACHO.
 
Voda tanzania anzisheni unlimited talk and text plan,ndio mpango mzima duniani kote,na ndio dawa ya kumaliza kabisa tatizo la nibeep nikupigie bongo
 
nimekuwa mteja wa vodacom
kupitia no.0753 345 000 toka 2002, mpawa natunza hadi naambiwa
nimefikia kiwango cha mwisho, kila siku najiunga kifurushi, nikipigwa
tafu narejesha kwa muda muafaka (japo sikumbuki mara ya mwisho ilikuwa
lini), miamala yangu ni kupitia m-pesa. Nikipiga customer care mara moja
naammbiwa 'labda' tutajie namba fulani..nikirudi name hizo namba
naambiwa nilipie sh.100.. Najiuliza. Ni kiburi cha kupendwa? Au kudumu
nao muda mrefu wanahisi nimekuwa mtegemezi na mitandao mingine siijui?
Hawajui kama naweza kuhama na wateja angalau kumi?..
Wamezidiwa,wanatafuta namna ya kutupunguza?

- ni tatizo gani? (m-pesa, sms, calls, internet, usajili, kukatika kwa
mawasiliano n.k)
- maeneo gani? (tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi
uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu
nawe)
- tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa
muda gani?
- kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini
unapendekeza unachopendekeza
- kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi
tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.

Karibu

vodacom tanzania[/i][/size][/font]
[/quote]
 
Vodacom jitaidi kuboresha mtandao wa 3G kwa sisi tunaopatika Lushoto angarau ata chuo cha SEKOMU tuweze kufaidi internet.
 
Vodacom Tanzania nipo morogoro mjini nina wiki mbili sasa sipati Huduma ya 3G kila ninapo on 3g network nashindwa kupiga sm wala sipatikani hewan mpaka Leo natumia edge niongea na customers care nimechoka nalazimika kutumia tigo sababu Voda mnasumbua rafiki yangu pia alitaka kuuza sm baada ya kuona tatizo hilo Tafadhali sana hebu shughulikie matatizo hayo.
 
Last edited by a moderator:
university offer yenu haieleweki eti mtu najiunga nipo chuo naambiwa nipo mbali na eneo je toa maelezo kamili juu ya swala hili tujue offer inawahusu akina nan na wakiwa wap

mkuu kama una smartphone off 3g network na data connection ndio ujiunge...
 
Hivi neno unlimited hasa kwenye net maana yake nini? Je nikidownload ama naweza download gb 1000 kwa mwezi na bado itakua unlimittedd?acheni uwongo mnadhani kila mwenye voda hajui kudownloaf
 
Vodacom msaada wa internet configuration kwenye sumsung Galaxy S5 G900H.nimejaribu kuweka details zifuatazo bila mafanikio


Account Name: Internet
APN : Internet
Proxy: 10.154.000.008 na pia nilijaribu 8080 zote zili fail
Port: 9201 na pia nilijaribu 9401 zote zika fail
 
Vodacom Tanzania acheni uhuni wa kutuibia salio zetu kwenye simu.

Nimenunua salio nikajiunga na kifurushi cha wiki, nikaacha salio... Hee muda wa kurenew kifurushi bado na salio mmekomba...

Soon line yenu naiflash chooni...
 
Last edited by a moderator:
buzuruga na nyasaka smart 4n ukiweka voda ni worse. mwezi wa pili tunadaka E badala ya 3G au H. Kulikoni??? hamna tunachopata zaidi ya bando kuexpire bila kutumika.
 
Back
Top Bottom