We need 3G @ Rungwe.
Vodacom sasa hv sio mtandao wa kuaminika kabisa
Vodacom Tanzania wezi sana... Kwa kweli rudisheni salio langutatizo lingine ni hawa jamaa kutuibia mda wa hewani kila tunapoongeza salio, yani mnatuboa ile mbaya, na kama vipi tutaungana tuwashtaki kwa kosa la wizi wa mtandaoni
Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Natafuta laini ya uwakala wa M-Pesa, ili niipate nahitaji kuwasilisha nyaraka zipi ofisini kwenu? Hizo nyaraka ziwe na sifa gani? Inachukua muda gani ili niipate? Inahusisha gharama kiasi gani?
Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania
msaada wenu wadau,jamaa kashaitoa na voda wanasema hawana jinsi ya kufanya labda mpaka jamaa aweke pesa kwenye akaunti yake ndio wataikata. polisi nao wamesema watafuatlia ni siku ya nne sasa! jamaa anapatkana ila hapokei simu na akipokea haongei.

hiyo hela itarudi yote usiwe na wasi wasi ila cha msingi usiwe na haraka.mimi kuna mwanamke nilikuwa nampenda sana,akanidanganya kwa maneno yake then nikamrushia laki tano ilikuwa mida ya jioni siku hiyo,na siku hiyo akaniambia,beby kesho ntakuja kwako,na mimi nikamwambia naomba uwahi kuja ili ukaweze kuandaa chakula cha mchana.basi kesho yake nikakaa mpaka saa tano karibu ya mchana hajafika,nikaanza kumpigia simu na simu yake ikawa haipokelewi,nikaamua kumjulisha mfanyakaz mwenzangu,nikamwambia ebhana shemej yako simwelew anazingua kuja na simu hapokei.huku nikiwa naendelea kuongea na mfanyakaz mwenzangu,nikapigiwa simu na kuulizwa,wewe ni nani unaepiga simu ya mke wangu?kiukwel nilijisikia vibaya na jamaa yangu akanishaur niwapigie voda kuwaeleza,nikawaeleza na wakaifungia akaunt yake ya mpesa.nilikaa mda sana kama miez mitatu bila kuwapigia voda kama hela imeshaingia kwenye akaunti yake,na juz nikaamua kuwapigia wakaniambia kuna hela imeingia kwenye hiyo akaunt na wakanirudishia hela yangu yote.thanks god
Sasa si inategemea kama bado hazijatolewa kwa wakala. Pesa inaweza kurejeshwa endapo itaamishwa kwenda akaunti nyingine ila sio kwenye hatua ya mwisho ya kuitoa kwa wakala, ndio maana vodacom wamemwambia kuwa pesa imeshatolewa na hakuna jinsi.
Kama aliyeitoa ni mtu mwenye fedha na anatumia akaunti yake ya mpesa kuweka na kutuma kiasi kikubwa cha pesa, ataipata tu, ila asikute huyo mtu ni mwanafunzi wa shule au jobless basi aisahau.
hata kama kaitoa,akiweka tu then wacall watakurudishia.cha msingi hapo mwenzako alikuwa anamaanisha usiwe na haraka sana ya kupata hiyo pesa,lakin akaunt ya huyo jamaa haitakuwa na uwezo wa kutoa pesa zaid ya kuingiza tu
Voda nao waache udwanzi. Hela hiyo hata kama imetolewa, inaweza kurudi japo siyo leo. Na ili hela isirudi, basi huyo mtu asiitumie tena hiyo line, namaanisha abadili line. Ikiwa ataendelea kutumia hiyo line, basi voda watakachofanya ni kuset kwenye system yao kuwa huyu mtu anadaiwa. Akiweka hela yoyote kwenye account yake, inakatwa, mpaka amount itimie.