Vodacom & tanesco siwahelewi!!

delako

JF-Expert Member
Oct 6, 2012
2,743
1,492
Juzi 31/10/2013 nilijaribu kununua umeme wa 4000/.Ilikuwa saa 2:30 usiku! Nikapata sms kuwa the Luku service is currently busy.you will receive your luku token shortly. You do not need to resend your request. Sikupata chochote mpaka Jana aasubuhi 1:51 kuwa The tendered amount is insufficient. Fixed charges have become due for the tarriff period starting 2013/11/01.Increase the tendered amount by tzs 686.02!Nikawa nimeelewa kwa kuwa ni mwanzon mwa mwezi yanipasa kulipia service charges na n.k. Huwa nalipia 4686.02!Leo asubuhi nikasema tanesco wana 4000/yangu niongeze 11000/hili nipate umeme wa km 10314/ HIV,Kilichotokea ni kwamba ktk 11000/ niliyotuma tanesco wamekata tena 4686.02 na kuambulia umeme wa 6314/!!Sijui nianzie wapi hili 4000/yangu iweze kurudi au token za pesa hyo ambazo ni 14..
NAOMBENI USHAURI WENU.WAPI NAWEZA KUPATA HAKI YANGU? ?
 
piga vodacom-mpesa watakurudishia pesa yako, me nilishajiribugi
 
Nashukuru mungu baada ya kuleta habari hapa jf, wamerudisha 4000/ yangu!!! jf kumbe ni zaid ya mahakama!
 
hongera hapa ni mchanganyiko wa watu so ukishiriki tatizo yupo anayefahamu au alipitia so ni rahisi kupata msaada.
 
Back
Top Bottom