Voda Songesha kwanini mnakata riba kwenye mkopo?

usikope kama hutaki riba
Hujaelewa nilichoandika??? Nimesema Voda wanataka kukata riba papohapo when Airtel wanaongezea tu na kukata later. Coz unaweza ukawa umefulia hata mia huna unataka kukopa 200k riba yake kwa wiki mbili lets say 25k which hauna na hupati mkopo; Airtel you can
 
bhana wanaikata kwenye hela unayokopa

kama wanakukopesha laki na riba ni 15,000
utaingiziwa 85000 wanakua washakata riba yao
 
Back
Top Bottom