Vladimir Putin amewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe wenyewe

Mwamba mmoja anatishia dunia watu wametulia tuliii nawakubali San watu wa namna hii
Uzuli Ukraine nao sio wazembe San ona vijan wa putin na ndege aina K52 hapoView attachment 2129933
Screenshot_2022-02-24-18-04-55-693_com.instagram.android.jpg
 
Russia imewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe au waweke silaha zao chini warudi nyumbani.

Huku hayo yakiendelea kumesikika milipuko sehemu mbalimbali nchini Ukraine huku wanajeshi wengi wa Urusi wakitokea kila upande kuizunguka Ukraine. Wengine wanatokea nchi jirani ya Belarus kuelekea miji mingine ya Ukraine.

Uwanja wa kijeshi wa ndege mji mkuu Kiev umeshambuliwa, pia watu 7 wamekufa na wengine wengi hawajulikani walipo.

Urusi imesema inalenga maeneo ya kijeshi nchini Ukraine kwa kutumia silaha za kulenga shabaha za hali ya juu.
View attachment 2129602View attachment 2129601View attachment 2129604View attachment 2129605
Naona vijana wao ndo wameanza kuji salimisha.Vita sio mchezo zile javelin za Marekan zimeanza kazi huko
Screenshot_2022-02-24-18-04-55-693_com.instagram.android.jpg
 
Wengi waschofaham ni kua kuna team kubwa inafanya analysis,wanacalculate risk,wanafanya assessment alaf wanakuja na paper ya karatas za kutosha kumshauri mheshmiwa nini kinafaida kwao kama taifa wafanye..
Kw hili haihitaji ata akili nyingi kujua team yake imemshauri nini,
Vita ziko mbili apo
Kuna vita ya mabomu na makombora na vita ya economy,
Hii ya economy iko mkononi kwake kabisa usa akichanga karata zake anashinda vizuri tu..
Mpaka mrusi amalizane na ukraine atakua katengeneza pesa nyingi sana mmarekani.
Vita sio mchezo zile javelin za Marekan zimeanza kazi hukoView attachment 2129942
Screenshot_2022-02-24-18-04-55-693_com.instagram.android.jpg
 
Front kuimaisha USSR.
Sawa. Embu angalia Aljazeera live UK prime minister anaongea halafu utajua hakunaga kuimarisha nchi kwa kupigana vita.

16457223338801071668010597802575.jpg
Hii vita ni ujinga maana unapigana na ukraine ila maadui zako wanakushambulia kwa mbaliii wakitumia rimont huku wakikupump uamini kuwa unapigana vita vyenye maana na unaonyesha dunia wewe ni mwamba. Hata puttin keshahtuka sasa anataka mazungumzo na ukraine japo ishakuwa too late maana hata raia wake wapo wengi wanao protest against invasion na wapo waliokamatwa na polisi
 
Putin sio mzima kichwani - kama alivyokuwa Hitler. Itadhihirika muda sio mrefu.

Katika karne ya 21 kiongozi wa taifa kubwa kama Urusi hawezi kufanya uamuzi wa kipumbavu kiasi hicho usiokuwa na manufaa yeyote kwa taifa lake.

He’s gone completely nuts. Bado ana medieval mind set ya akina Alexander the Great na Gengis Khan!
NATO walipopiga Belgrade ilikuwa karne ipi kwani.
 
We still have little information and it is too early to conduct a field study. But what is clear is the progress of the Russians in the use of long-range missiles and precision weapons in relation to the war in Georgia, which is the result of their field experience in the wars in Georgia and Syria. Minutes ago, four possible ballistic missiles were fired from Belarus into Ukraine
FMYlOCQX0AY3_Um.jpg
 
Putin sio mzima kichwani - kama alivyokuwa Hitler. Itadhihirika muda sio mrefu.

Katika karne ya 21 kiongozi wa taifa kubwa kama Urusi hawezi kufanya uamuzi wa kipumbavu kiasi hicho usiokuwa na manufaa yeyote kwa taifa lake.

He’s gone completely nuts. Bado ana medieval mind set ya akina Alexander the Great na Gengis Khan!
Unajua mzozo huo unasababishwa na USA kwa sababu USA hana base ukanda huo na anataka aweke mitambo yake hapo Ukraine ili amchunguze Russia akasema aitwezekana
 
Mwamba mmoja anatishia dunia watu wametulia tuliii nawakubali San watu wa namna hii

Nchi zinazoweza mkabili zinajitajidi busara itumike kuepuka vita kubwa zaidi...

Marekani akirusha hata risasi tu hapo, kitachofuata ni mtafutano dunia nzima...
 
Wewe ma Drifter mnaponzwa na mahaba kwa upande flani.
Kwanini Marekani walichabganyikiea USSR walipoweka silaha hatari Quba?
Si ni sawasawa na NATO(Au USA) kuweka silaha hatari Ukraine au nchi yeyote jirani na Russia?

Kama mnapenda haki msojitoe ufahamu.
What goes round comes round... and vice versa is true.
 
Wewe na Drifter mnaponzwa na mahaba kwa upande flani.
Kwanini Marekani walichanganyikiwa USSR walipoweka silaha hatari Quba?
Si ni sawasawa na NATO(Au USA) kuweka silaha hatari Ukraine au nchi yeyote jirani na Russia?

Kama mnapenda haki msijitoe ufahamu.
What goes round comes round... and vice versa is true.
 
Putin hataki Ukraine ijiunge NATO maana anahatarisha usalama wake..NATO wanaitaka Ukraine ili waizunguke Urusi na Urusi hawezi kuiubali hilo kamwe.
Kazi ipo kwa Ukraine aamue yeye
Sasa Ukraine sini taifa huru lina haki yakuamua mambo yke! Au Ukraine ni jimbo la Russia?
 
Putin sio mzima kichwani - kama alivyokuwa Hitler. Itadhihirika muda sio mrefu.

Katika karne ya 21 kiongozi wa taifa kubwa kama Urusi hawezi kufanya uamuzi wa kipumbavu kiasi hicho usiokuwa na manufaa yeyote kwa taifa lake.

He’s gone completely nuts. Bado ana medieval mind set ya akina Alexander the Great na Gengis Khan!
Na kama USA, kungekuwa na mtu mwenye akili kama hizo, sasa hivi dunia ingeingia WW3!!lakini watampuuza tu, na kumminya kisayansi!!
 
Back
Top Bottom