Ukubwa 25x25, 40x35, 40x40.ni sehemu tambarere gari linafika mpaka mlangoni. Dalali hatakiwa
bei inaanzia 2milioni na maongezi yapo.
Contact
0714812375
0784821832
ukubwa 25x25, 40x35, 40x40.ni sehemu tambarere gari linafika mpaka mlangoni. Dalali hatakiwa
bei inaanzia 2milioni na maongezi yapo.
Contact
0714812375
0784821832
Ushawahi kununua kiwanja??definitely ni hatua(simply metres)hizo ni 25x25 km, hm, dm, m, dem, cm, mm? Au yard, feet, inches, kg, etc?........ Weka jibu sahihi ili iwe rahisi kuwasiliana zaidi
Mkuu Bado una hivi viwanja?Ukubwa 25x25, 40x35, 40x40.ni sehemu tambarere gari linafika mpaka mlangoni. Dalali hatakiwa
bei inaanzia 2milioni na maongezi yapo.
Contact
0714812375
0784821832
25kg x 25 kg. Hahaha acha matani mzeehizo ni 25x25 km, hm, dm, m, dem, cm, mm? Au yard, feet, inches, kg, etc?........ Weka jibu sahihi ili iwe rahisi kuwasiliana zaidi
Check PM yako.
Sijakupata vizuri kama unamaanaisha eneo hilo linaitwa Goba madale au unavyo hivyo viwanja kwenye eneo la Goba na eneo la Madale. Natumaini utatujilisha sawia.
Ushawahi kununua kiwanja? hatua na metre ni vitu viwili tofauti, metre vs feetUshawahi kununua kiwanja??definitely ni hatua(simply metres)
Au miles?hizo ni 25x25 km, hm, dm, m, dem, cm, mm? Au yard, feet, inches, kg, etc?........ Weka jibu sahihi ili iwe rahisi kuwasiliana zaidi