Viwango vya Michango ya Mwenge kwa Watumishi

Kamgomoli

JF-Expert Member
May 3, 2018
1,865
3,805
Hili la mwenge litafakarisha sana. Iringa kila mtumishi kaagizwa kutoa mchango kama ifuatavyo.
1. Watendaji kata 30,000/=
2. Waratibu Elimu 30,000/=
3.Watendaji wa mitaa 15,000/=

Pia watendaji wa mitaa wanatakiwa kuchangisha fedha mitaani huku kila mmoja akipewa malengo ya kiasi cha kuchangisha

4. Maafisa Ugani kata (Kilimo na mifugo) 15,000/=
5. Maafisa maendeleo 15,000/=
6. Waalimu 5000/=.
7. Wafanyabiara wakubwa na wenye viwanda. Hawa wanaandikiwa barua rasmi na mkurugenzi au ofisi ya mkuu ya Wilaya au Mkoa na hutakiwa kutoa kiasi cha kuanzia laki moja(100,000/=) na kuendelea. Huu km sio wizi na unyang'anyi ni nini?

Kinachoshangaza ni ongezeko kubwa la mchango ambapo mwaka jana watumishi walichangia kati ya elfu 3,000 na elfu 5000. Nini kimesababisha mwaka huu michango kuwa 15,000 na elfu 30,000? Maswali ya kujiuliza

1. Je, serikali haitambua huu uonezi unaofanywa na Wakuu wa Wilaya?

2. Ni sheria gani inasema wananchi na watumishi wachangie mwenye kwa nguvu?
3. Wabunge wako wapi kuikemea serikali?

Kwa kifupi Mwenge sasa ni kero kubwa kwa wananchi wa kawaida,wafanyabiashara na watumishi.Wengi hawataki hata kuusikia.

Nb:Hii michango sio ombi ni lazima,ikitokea unasita sita kutoa unaambiwa litakalokukuta shauri ako.

Nawasilisha.
 
Hamjui haki zenu.
 
Mmoja akatae na ashtaki ili tuone mahakama zetu zitasemaje, nina uhakika haya mambo yakifika kwa majaji wanaojielewa yatatupiliwa mbali
 
Back
Top Bottom