Viwango vipya vya mshahara mwezi wa saba mosi

Qms

Member
Apr 24, 2014
7
0
raisi katika kujibu risala za wafanyakazi, kasema viwango vpya mwezi wa saba, sasa najiuliza je vitakuwa kama ilivodaiwa na wafanyakazi?
 
waungwana siamini, na si kwamba nataka kukopa mi ni mjasiliamali na si mfanyakazi wa umma
 
Mshahara utaongezwa kwa 7% halafu mfumuko wa bei utaongezeka kwa 20%
 
raisi katika kujibu risala za wafanyakazi, kasema viwango vpya mwezi wa saba, sasa najiuliza je vitakuwa kama ilivodaiwa na wafanyakazi?

me navyojua serikal huwa inaongeza salary kila july maana kwenye mkataba ipo hiyo,,,,kila july 1 mshahara utapanda,,,,,labda kama vitapanda kwa madai ya labourers
 
raisi katika kujibu risala za wafanyakazi, kasema viwango vpya mwezi wa saba, sasa najiuliza je vitakuwa kama ilivodaiwa na wafanyakazi?

Sitarajii jipyaaaaa.....hiyo mishahara inayoonhezeka 40,000?.....bora wasiongeze mana wanatugombanisha tu na ndugu na marafiki mana wakisikia imeongezwa wanajuwa watumishi ni matajiri. Ahhh..majangaaa tu
 
Si rahisi cheap labourers kusikilizwa! Mmesha jiridhkia na yaliyopo.

Unadai kima cha chini 720,000 wenyewe wanatoa 250,000 robo ya posho yao kwa siku
 
Back
Top Bottom