Viungo vya binadamu (idadi kubwa) vyaokotwa Bunju-Machimbo

jamani jamani jamaniiiii

ee Mungu tusaidie, hii habari sio nzuri hata kidogo.
 
Imetangazwa kama breaking news ITV,na hakuna taarifa zaidi ya hapo iliyotolewa.
 
Wataalamu wanasema mawili....
1..aidha madaktari wanafunzi ambao wanajifunza zaidi kuhusu maiti ndio wamemeliza masomo yao now ndo wanazitupa

2..mpango wa kubadilishana maiti kwa ajili ya kujifunza....hivo mafunzo yameisha na wamezitupa.

Swali...
nimeenda kuzishuhudia ni nyingi sana, halafu ni vipande vipande, kuna zinazovuja damu, kuna zilizokauka, kuna zilizochunwa ngozi.
Dereva aliyekuwa anaendesha hiyo Hilux amekamatwa yuko police Bunju A.....wananchi wamekizingira kituo wanataka wamuue dereva aliyetumwa kazi hiyo ya kumwaga mabaki ya miili.
Bunju hali sasa si shwari, risasi zinapigwa, watu wamebeba silaha za jadi wanataka kubomoa kituo ili wamuue dereva.
Picha na video ninazo ila niko mbali na laptop.
 
Wakati tukiendelea kujadili juu ya kukamatwa kwa viungo vya raia huko bunju.Hebu tujadili hiki.

Karibu kila siku Ukiangalia ITV saa12 jioni kuna watu huwa wanatangazwa wamepotea na sijui kama wanapatikana.

Hivi wale wanaopotea wanaenda wapi?
 
kwahiyo akili zako zinakutuma humu member wote wa jf wapo Tanzania?

mimi niko Pyongyang, North korea, only jf ndio chombo changu cha kupata habari za nyumbani.

Pyongyang kuna internet ya kuwasiliana na outside world kweli??.
Ninashaka na kauli yako kuwa upo N Korea.
 
kwahiyo akili zako zinakutuma humu member wote wa jf wapo Tanzania?

mimi niko Pyongyang, North korea, only jf ndio chombo changu cha kupata habari za nyumbani.

We uko pongyani sijui huko afu unabisha, mwenzio yuko hapahapa bongo.
 
Nadhani ni vya mahospitalini..ka Mwanza ukienda dampo la kule Buhungwa mbona utakimbia aisee!
 
Watu kituoni bado ni wengi mno na harufu ni kali sana nikifika home nitawaletea picha nimepiga ila simu inagoma kudownload ni huruma kubwa sana halafu ni vichwa, mikono na miguu separately duh
 
Wataalamu wanasema mawili....
1..aidha madaktari wanafunzi ambao wanajifunza zaidi kuhusu maiti ndio wamemeliza masomo yao now ndo wanazitupa

2..mpango wa kubadilishana maiti kwa ajili ya kujifunza....hivo mafunzo yameisha na wamezitupa.

Swali...
nimeenda kuzishuhudia ni nyingi sana, halafu ni vipande vipande, kuna zinazovuja damu, kuna zilizokauka, kuna zilizochunwa ngozi.
Dereva aliyekuwa anaendesha hiyo Hilux amekamatwa yuko police Bunju A.....wananchi wamekizingira kituo wanataka wamuue dereva aliyetumwa kazi hiyo ya kumwaga mabaki ya miili.
Bunju hali sasa si shwari, risasi zinapigwa, watu wamebeba silaha za jadi wanataka kubomoa kituo ili wamuue dereva.
Picha na video ninazo ila niko mbali na laptop.

Daah sasa hawa wananchi wakimuua huyo dereva tutawajuaje wahusika. Inabidi polisi wafanye kazi yao hadi wahusika kamili wapatikane. Huyo dereva ni mtumwa tu
 
Back
Top Bottom