Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Shoga albino alikuwepo mwanyamala very smart pale kamanyola bar...ibrahm kipofu anatembea mwendo mrefu pembezoni mwa road bila ya kuguswa na gari wala baiskel kufata madada poa kwa wahaya..kuna kinunga nae albino huyu alikuwa anacheza mpira balaa
Huyu shoga albino alikuja kuwa muhudumu wa gest pale kamanyola watu wakawa wanajipigia usiku,dah kuna mengi sana mengine tuyaache maana dah
 
Mtaa wa Kwa kutoka Tiger kulikuwa na nyumba moja ya mama mzungu ana wanae wawili wa kizungu... Mmoja bangi bangi kweli...
Huyu mama mzungu akaugua akapelekwa Nairobi akalazwa huko akafariki
Huyu mwanae bangi akaweka msiba kisha akapiga moto na pajero lake intercooler mpaka Nairobi...
Siku ya pili usiku anaingia kutoka Nairobi na maiti ya mamaake kaipiga belt seat ya nyuma... Mwili ulikuwa umeshaanza kuharibika... Alisafiri na maiti peke yake toka Nairobi mpaka Mwananyamala
Kweli jamaa alikuwa bangi, kwa sasa yuko wapi
 
Aseeee walimu wote nawajua mwalimu ndago msambaa mwenzangu jaman mwalimu mpogolo some body kimwana na mwalimu mwanachia sasa mbona umemsahau mwalimu wetu wa darasa kutoka darasa la mwalimu ndago linalofatia jina limenitoka darasa la pili alikua anatuuzisha ice cream za ukwsju ukiwahi anakupa dell uhangaike nalo mkononi daaah umenikumbusha mmasai lazaro yaan tulilua tunamsumbua alikua mnoko vipiiii unawakumbuka dotto na kulwa wale mapacha walikuwa darasa la juu walitupita kama madarasa matatu walikua wana fujo na wakorofi shule nzima wakifanya fujo nyuma kule uwanja wa mpira shule inafungwa

wale washkjai ilikuwa noma ikitokea Mtemi mwingne wanataka wapigane nae saa ya kutoka mnazunguka nyuma kule uwanjani shule nzima tunaamia uwanjani kuangalia NGUMI kipindi hicho geti lilikuwa linatumika la mbele pekee lile linaloangalia njia ya kwenda ujiji
ticha mpogolo dah
huyu ticha anaeuza asklimu namkumbuka vizuri tuu ila nimemsahau jina ila sitamsahau sitamsamehe
au shunie ndo ulikuwa wewe nini umeachiwa dell siku hiyo nimekupa 50 halafu chenji yangu sh 40 ukadai umenirudishia wakt ujanipa si ndo akatokea huyu ticha akauliza una shaidi nikasema ndiyo akaja rafiki yangu akasema ndio hajampa chenji yake aisee basi bi dada ukakataa ukidai umenipa aisee tulichezea viboko balaa sitaisahau hiyo siku mpk wanafunzi wenzangu wakashauru nikamsemehe kwa mwalimu mkuu anauza asklim shule wkt ilikatazwa mwalinu kufanya biashara yaan walituonea huruma sana mm na shaidi wangu

nakumbuka ilikuwa standad 4 hiyo yale madarasa ya pembeni vidirisha vidogo viko juu upande wa uwanjani
 
Back
Top Bottom