Vituko anavyonifanyia mpenzi wangu

Njia panda ipi sasa wakatikila kitu kinaonekana? Hapo hakunapenzi bibie huna haja ya kufikiria mara mbili, laptop achana nayo tena kaa kimya usimuulizie kitu chochote
 
Asanteni kwa ushauli wenu wapendwa kweli nimefarijika kwa ujumbe mbalimbali mi ni mfanyakazi serikarini .
He was just using you mydia, sasa karibu anamaliza kampata soulmate wake...pole sana
 
Nishapoa mpendwa, ukweli sasa sitauliza hbr za laptop kwani nikizidi itaendelea kuniumiza majib anayonipa sasa ananiambia yeye ni handsome anatongozwa na wanawake kweli ni neno la kumwambia mwenzako? Ila nimefarijika thanx all
 
kwa kweli kama kauli zake ndo hizo huna hata haja ya kuzungumza naye tena.
 
Nishapoa mpendwa, ukweli sasa sitauliza hbr za laptop kwani nikizidi itaendelea kuniumiza majib anayonipa sasa ananiambia yeye ni handsome anatongozwa na wanawake kweli ni neno la kumwambia mwenzako? Ila nimefarijika thanx all
Aliyemwambia mwanaume sura nani,asubiri kuolewa basi.Mi nakushauri fanya kila jitihada umsahau,hiyo ni RED light imekuwakia mapema.My cousin sissy alipata same prob tena yeye ni mke wa ndoa na huyo mwanachuo mwenza na mumewe alikuwa anamfahamu.Ilianza kama hivyo kwako,mwisho akazaa naye.Chondechonde,4get him as soon as you can my dear.Time will tell na utapata the right man muda ukifika.
 
Hahahaha! We umenichekesha unavyomdai huyo mwanaume laptop!
Kama mimi ningekuwa huyo mwanaume ningekudai uroda wangu niliokupa.
Pole mpendwa, usifanye hasira na usiwe mwepesi kufanya maamuzi. Mtafute muongee ana kwa ana.
Mungu akupe ujasiri.
 
Kategeka na vdenti wa chuo maana mitego yao nibalaa ......mi mwenyewe huwa nategeka ndio mana nikitoka ubungo kwenda mwenge napanda daladala zinazopitia utawala japo nauli ni kubwa kulingana na zile zinazopitia samjoma nitafanyanini mitego ndio ugonjwa wangu!

mmh!
Unahitaji ushauri nasaha na wewe.
 
Pole sana tena kama una upendo wa dhati na unafanyiwa hivyo.

sasa basi jikaze kisabuni, usiulizie tena hiyo laptop ni material tu ndugu yangu isikupotezee muda..kuwa kimya usimtafute, najua ni ngumu sana ila jitahidi..usijibizane na huyo mdada mana unaweza kutukanana na wanawake lukuki kumbe tatizo ni mwandani wako.

Hebu uwe kimya kidogo uone atafanyaje..pia mwenzio anaweza kuwa hayupo tayari kindoa, usimlazimishe.

Naipenda hiyo strategy-you play hard to get! Mara nyingi inalipa, ila kweli uwe na guts, sio unamchunia siku mbili, ya tatu unakumbuka laptop na kumpigia!
 
Back
Top Bottom