Vitu gani humpagawisha mwanaume/ mwanamke!!!!!

umezaa umenenepeana inside you feel old and unattractive utakumbuka kweli kuvaa sexy underwear mumeo akuone???mnh i doubt ndoa nyingi ni kubakana tu kwa kwenda mbele siku zinasonga...................
Kwanini uvae sexy underwear... I prefer uwe hujavaa chochote. Unene sio sababu ya kujifeel unattractive as long as you are freaky na unajua kujiubenua lazima mwanaume atapagawa!
 
uzuri tuna mkataba wa kufundana wenyewe kama tuna-update antivirus. usiwaambie manake kuna small houses humu watatuzidi akili,lol
Nimesha kusoma Boss, we unataka kunitega, niseme ngojanikuoneshe kama I mean it alafu ufaidi masiri yangu ya kupagawisha wanaume. Hunipati N'go! lol
 
Are u mwanandoa?
umezaa umenenepeana inside you feel old and unattractive utakumbuka kweli kuvaa sexy underwear mumeo akuone???mnh i doubt ndoa nyingi ni kubakana tu kwa kwenda mbele siku zinasonga...................
 
Hapa ndipo mwanamke anapotakiwa kumueleza bayana kuwa, " Uume wako upo sawa ila mawasiliano yako kwangfu ni finyu."

Hii sentensi imenichekesha sana, lakini cha msingi inaonyesha mawasiliano yalivyo ni nyenzo muhimu ktk mapenzi... Kuliko kuishi kwa kutegemea mawazo ya kubuni buni
 
Back
Top Bottom