Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Jaribu Ku Google upate maelezo Simba akifanya hivyo anakua ana maanisha nini kwa Dume mwenzie...kifupi hapo hamkazi isipokua anakua anampiga biti kuwa yeye ndio Mtemi wa eneo ilo.
Kuhusu vita ya mashoga sasa hivi wanapandishwa kizimbani kimya kimya kusomewa mashtaka...juzi nilikua Mahakama fulani nikawaona.
Duh nimejifunza kitu kipya apo
 
Sasa kua na sauti ya kike ni kosa lake. We ungezaliwa na hormonal imbalance afu ukafungwa kisa sauti ya kike ungeona sawa. Fikiriaga kwa akili bac sio nyege
Wala asikutishee na uongo wakee, huwa wanajisikia ahueni wakijiambia mashoga wanafungwa kumbe hamna kituu.

Case ya afande rama had leo inarushwa na ushahidi uko wazi,
Atasema nn hapaaa, kwan watu washa sahau, ile ilikua agenda ili watu wasihoji kitu cha muhimu.

Rais alisema watu wafanye wakubwa kwa wakubwa tena kwa hiyari yao..

Akatafute wa kuwadanganyaa sio hapa.
 
Kila kinachotokea Mahakamani unataka tuwe tunasema huku?
Wasanii wanafunguliana kesi za madai kila siku tunapishana nao lakini huku hatusemi...wengine wakiwa Mahakamani ni vituko haswa!! Wanajaa upepo, tunakausha hatusemi wala kuwapiga picha.
 
Ingia mtandaoni research mwenyewe
Fanya utafiti mwenyewe. Kuna chat GBT iulize maswali. Kuweni skeptical sio kila kitu unaskia unakubali ndo maana wazungu wanaendelea huku sisi tukikandamizwa. Sisi waoga na wavivu kufikiria nje ya tulichoaminishwa. Tunalazimisha kuishi kizamani na mnafanya maendeleo yaonekane dhambi au mabaya. Chaguo Ni lenu
Wewe ms£ng£ kwako kufirwa unaona maendeleo?yaani kubong'oa makalio hayo unaona ume-win haya eleza umma hapa umejenga nyumba ngapi na bank account inasoma bei gani kwa kupachikwa kwako vipande vya nyama ngumu.

Stupid kabisa una akili gani wewe,maji wanayokumwagia huko siyo sehemu yake ndiyo maana unawaza kimataco mataco hushangai dada yako akimwagiwa anakuwa active wewe unageuka punguani.

Halafu hii unaweza kukuta aliye-post ni mbunge
 
Kila kinachotokea Mahakamani unataka tuwe tunasema huku?
Wasanii wanafunguliana kesi za madai kila siku tunapishana nao lakini huku hatusemi...wengine wakiwa Mahakamani ni vituko haswa!! Wanajaa upepo, tunakausha hatusemi wala kuwapiga picha.
Wee usitake kudanganya watu hapaa, nimekuambia taja mahakama hiyo, yaan case ya ushoga iendeshwe na taarifa isitoke mtandaoni?

Mbna zile za mbeya na mtwara hata hukumu haikutoka tayari mtandaoni ime leak, na kwa sasa wako njeee.

Labda useme yuko kituo cha polisi kwa uchunguzi, ila km mahakamani na case inaendeshwa taarifa ingekua wazi. Huna wa kumdanganyaa hapaa.

Muongo mkubwa wee,
Mahakama ipi ya usiri? Ina maana hiyo case inaendeshwa kwa usiri?

Kawadanganye wengine hukooo, lol
Umekataa kutaja dau unarukaruka...
Mwenzio yupo kakosa watu wa kumuekea dhamana huko.
 
Ingia mtandaoni research mwenyewe
Fanya utafiti mwenyewe. Kuna chat GBT iulize maswali. Kuweni skeptical sio kila kitu unaskia unakubali ndo maana wazungu wanaendelea huku sisi tukikandamizwa. Sisi waoga na wavivu kufikiria nje ya tulichoaminishwa. Tunalazimisha kuishi kizamani na mnafanya maendeleo yaonekane dhambi au mabaya. Chaguo Ni lenu
Ushoga SI maendeleo ni upuuzi na uharibifu
 
Wewe ms£ng£ kwako kufirwa unaona maendeleo?yaani kubong'oa makalio hayo unaona ume-win haya eleza umma hapa umejenga nyumba ngapi na bank account inasoma bei gani kwa kupachikwa kwako vipande vya nyama ngumu.

Stupid kabisa una akili gani wewe,maji wanayokumwagia huko siyo sehemu yake ndiyo maana unawaza kimataco mataco hushangai dada yako akimwagiwa anakuwa active wewe unageuka punguani.
Povuuuuuu la OMO,
 
Wanafuta kisa naongea ukweli. Wanyama wanafanya ushoga wapo. Proof zipo ..watu wanasema hoo it's not natural wanyama hawafanyi haya wanafanya jiteteeni sasa
Kwani wewe ni mnyama,? Je una akili kama za wanyama. Na nikisema wanyama nadhani unaelewa nazungumzia nini.
 
Back
Top Bottom