Vitchen Party vya siku hizi!

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,563
http://8020fashions.blogspot.com/2010/03/mishi-bs-kitchen-party.html
http://8020fashions.blogspot.com/2010/03/jamilas-kitchen-party.html
http://2.bp.blogspot.com/_mfzF7SFAovg/S4J1wwhi9qI/AAAAAAAAOEg/EOQhYUxZKrU/s1600-h/g.jpg

Jamani nilikuwa naangalia sherehe za siku hizi za wanawali nikajikuta najiuliza kwa sauti

Hivi kama mambo ndio haya, mwanaume anayeoa anajisikiaje? Maana nahisi unapokutana na binti ambaye nyumba nzima kaisheheni mifenicha na takataka zote alizopata kwenye kitchen party yake halafu asiye mstaarabu si anawezakuja kukujibu sikumoja
...... Bwana eeh usinibabaishe kwanza hata kitanda unacholalia ni changu!! au una nini babu wakati nila kitu ndani changu???? Nimeuliza tu maana duh hii sasa kufuru!!
 
MJ1 hii balaaaa!!!!

kweli kuna siku mtu anaweza kubwatukiwa!!! mmh lakini jamani si huyo aliyekuoa ndo alikuapa nafasi ya kufanyiwa hayo yote
(if he was not going to marry you nani angekufanyia kitchen party?)
 
...........Ni kweli dada but kuna wengine wetu si wastaarabu. Mtu anapewa mtaji na mumewe na biashara ikichanganya anamea pembe dada yangu.

hapana mimi nafikiri kidooooogo kuwa kuna limit bwana- mlishasema kitchen party sasa vitanda vya nini? kwani waume wanaooa siku hizi hawana vitanda?
 
Mjukuu imekuwaje leo umeamua kuanika kitchen party yako hadharani?
 
mweeeh!!!! me dunno!! watu tunapenda show off, hapo hukawii kusikia viliazimwa fenicha center kwa ajili ya kurusha roho tu......

Mjukuu imekuwaje leo umeamua kuanika kitchen party yako hadharani?

thank God youare awake!!!
 
Kama una wasiwasi yanaweza tokea hayo! Just double 'em hata kama yatakaa store room lakini backup lazima iwepo! Ni kawaida sana kusikia mwanamke akilalama mwanaume mwenyewe nalisha, natunza, analala kwenye kitanda changu!, nk Ukisikia mwanaume anasema kinyume chake huyo utamweka kwenye kundi la wagonjwa wa akili!
Hali hii hutokea kwa sababu siku zote mwanamke anataka mme wake ashike usukani! A man should be incharge! Hiyo ni natural na kwa bahati mbaya sana mwanamke akipata mwanaume ambaye ni inferior ndio utasikia hayo!! Mwanaume mwenyewe utafikiri mwamamke!!

Rafiki yangu mmoja niliwahi mwuliza kuwa anataka mwanaume wa aina gani! Akaniambia right away anataka mwanaume mwanaume kweli! Sio wa kuambiwa twende dinner leo! hayaaa! Ninunulie chain ya gold hayaaa!!! Yaani dume linalopelekwa pelekwa tu?

I like women! Wangekuwa wanalimwa kama mpunga au mahindi ninge walima mpaka kiangazi!!
 
hhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uwiiiiiiiiiiiiiiii!!! we kiboko wallah
 
1.Kuna makabila hapa tz nasikia huoi hadi uwe umejenga nyumba.....safi sana.Kabla hujaoa angalau mwanaume uwe umejiandaa,mama akija na vifenicha vyake ni wazi atakuta nyumba imejaa nafasi hakuna........itabidi vyombo vyake tuviweke stoo.
2.Kuna wanaume wenzangu ambao tabia zao ni za unyanyasaji,kila siku utasikia''nitakufukuza,au toka sitaki kukuona hapa.'' Sasa wazazi kuepuka hili,wakati wa kuoza binti yao,humpa kila kitu,hapo hata jamaaaaa akitaka kufukuza anasita maana anajua siku hiyohiyo mkewe akiondoka, atalala chini,the comedy hataona,sufuria ya kupikia itabidi akaombe kwa jirani.na maji ya baridi hatakunywa.
 
Lakini turudi nyuma twende mbele ; mijizawadi namna hii inawasaidia nini wana ndoa? wanajiandaa kimaisha kweli ?
 
thought I would be dead?
BTW hongera kwa siku yenu mamushka!

hahaaaa jana i looked for u weeeeeeeeeeeeeeee but wea nikasema basi ntakuja k'ndoni japo nitie udongo shimoni tu!!!

biggy siku gani? remind me plz..........
 
WLATA day...
Soma katikati ya mistari hapo.....
Mamushka ulisahau nilikuambieni ningerest in piis kwa jana? LOL!
 
aaaah gotch you!! mi nshamaliza kuisherekea last week!!!! ila msaada naendelea kutoa kama kawaida

sikusahau lakini kumbuka pale mimi nilikwambia ntakutafuta tu no mata wat....lakini biggy ukanidharau!!! (am not suprised that u 4got)lol!!

anyway umeamka maana ile hali ilikuwa tishio
 
Ndio raha ya kuwa na marafiki waliotokea kwenye koo za watakatifu Yuda Tadei, Maria Magdalene.......
 
Babu na Mamushka nyie kwenye vichen party vyenu mlizawadiwa mikeka? maana naona mmekaa kabisa na kuazisha soga!!

Babu mie sikuwa na pati ya jikoni nadhani ndio maana sijafundika!!
 
Ubongo wangu wa kichina unaniambia hapo umenitukana. Unless you apologise...............!
 
Babu na Mamushka nyie kwenye vichen party vyenu mlizawadiwa mikeka? maana naona mmekaa kabisa na kuazisha soga!!

Babu mie sikuwa na pati ya jikoni nadhani ndio maana sijafundika!!

hahaaa hata bau yako naye yumo?

MJ1 dearest, mimi mbado hiyo mambo lakini pia haitakuwepo kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!

unless u convice me otherwise......huwa lengo lake ni nini kwani??
 
Back
Top Bottom