MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,562
- Thread starter
- #41
Ningependa kujua wanaume wanaonaje juu ya hii! Wewe ambaye katika kukua kwako unafundishwa kuwa mtafutaji (sisemi kuwa wanawake wakae tu la hasha) na ndio kichwa cha familia- katika mila hizi za kiafrika unapooana na mwenzako kisha siku ya kumchukua sasa na kumpeleka au kumkaribisha rasmi kwenye nyumba yenu ya kupanga anakuja na mlori wa vitu vyote vya ndani- tena vile ambavo kama tulivyoona hapo ni expensive!!
ni sawa na wengine wanaowazawadia mabinti zao magari wakati mume mtarajiwa hana hata baiskeli!
ni sawa na wengine wanaowazawadia mabinti zao magari wakati mume mtarajiwa hana hata baiskeli!