Vitambulisho vya taifa!

Principal Focus

JF-Expert Member
Jan 4, 2013
925
548
Habari wana JF!
Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa siku hii ya leo ambao inaelekea kukatika hivyo na kuja siku nyingine!
Pili naomba kwenda kwa point yangu!

1; zoezi la kujiandikisha kwa vitambulisho vya Taifa bado linaendelea mikoa yote na wilaya!
Wengi wanawasi wasi wa kutokujua kama kuna zoezi la kuandikisha kitambulisho cha taifa hivyo kwa uhakika asilimia 95% nathibisha zoezi lipo na maafisa wa nida wapo kila wilaya nchini, hivyo ni wajibu wakutambua DRO/afisa wa nida wa wilaya yako.

2: kuna baadhi ya maeneo bado hawajaanza kutokana na sababu zilizonje ya uwezo wao!
Hapa naomba nieleweke hivi "kuna maeneo ambayo tayari yamekwisha anza kuandikisha vitambulisho vya taifa, mfano mzuri wilaya ya Meatu-Simiyu. Japo afisa wa nida amekutana na changamoto like kukosa ushirikiano baina ya mkurugenz na mkuu wa wilaya, na kukosa fedha za kwa wakati but ameonyesha uthubutu kiasi flan kazi inafanyika.

Japo mwaka wa fedha haujaanza hivyo inamlazimu kufanya kazi katika mazingira magumu bila kuwa na fungu katika halmashauri ya wilaya. Sema ahsante Mungu ameweza kuthubutu kwa kutafuta operators wa kujitolea kufanikisha zoezi. Hivyo sijui DRO wa wilaya yako amekua creative namna gani mpaka mtu unasema zoezi halifanyiki." NB: pote hakuna fedha kwakuwa bajet yao haijapita.

3: kama ulipiga picha kuwa na subira coz hivi sio vitambulisho vya mpiga kura ni vitambulisho vya taifa so hauwezi sema upige hapo hapo upate, ni lazima kwanza nida+usalama wa taifa wahakiki kama kweli wewe ni raia halali so kuwa mvumilivu hata kama rafik yako kapata subir labda fomu yako ulijaza kwa makosa au ulitiliwa shaka na afisa msajili pia kuchanganya taarifa like unapeleka copy ya kitambulisho cha mpiga kura mwaka unaonyesha ulizaliwa 11--1995 alaf kwa fom umejaza 12-03-1997 hiyo pia ni kudanganya taarifa hivyo subiri uitwe ili uhojiwe vizur...

So kiufupi zoezi linaendelea hivyo niwatoe wasi wasi, pili jaribu kuuliza kwa mwenyekit wa kitongoji chako atakupa taarifa vizuri maana kwa sehem za mjini si mara nyingi wanatangaza hata kama kuna msiba bali taarifa hawatoi so ukiona kitongoji hana taarifa jaribu kuuliza kwa mkurugenzi au mkuu wa wilaya atakupa taarifa sahihi juu ya uwepo wa zoezi...

Usimind kwa kutopangilia vizur
 
Asante Kwa taarifa.

Mimi nina tatizo moja tu na NIDA, iko hivi.

Binafsi nina majina mawili tu, yaani " Computer Billionaire"

Sasa, NIDA wananilazimaisha niongeze jina la tatu eti NIDA hawakubali majina mawili.

Japo, mimi vyeti vyangu vya shule na vitambulisho vina majina mawili tu.

Naomba msaada, nifanyeje maana naona kitambulisho hicho ni kama kitakuwa hakina maana kabisa Kwa kutofautiana na vyeti na vitambulisho vyangu vingine!?

Pia, NIDA wamekataa kuniandikisha kwa hayo majina yangu mawili kwa kudai kuwa NIDA haikubali majina mawili yaani wanakubali majina matatu na kuendelea.

Ni kijana huko Tanzania analalamika hivyo sasa kwa niaba yake anaomba Jibu.

JF plz, Yeyote mwenye msaada Kwa swali hili anisaidie namna ya kutatua jambo hili.

Asante.
 
Baba yako hana Baba?
 
Kama anachet cha kuzaliwa apeleke pia nakala zake zote mfano vyeti pia na hizo id nyngne apeleke nakala. Then jina lake la kwanza,pili jina la pili la baba, tatu jina la ukoo bila hivyo hasaidiki coz majina hayo matatu ni muhimu kuyapeleka... Sidhani kama kuna mtu hana hayo majina matatu... Akipeleka chet cha kuzaliwa itarahisisha apewe huduma haraka
 
Maelezo mazuri lakini nitofautishie mzalendo na raia,pili hiyo ID yako hebu tutafsirie kiswazi,tatu wewe ni raia au mzalendo,ni hayo tu gwanangenya.
 
Anaye mkuu.

Sasa tatizo hapo ni kuwa kitambulisho kitakuwa tofauti na vingine vyote nilivyo navyo kwa sasa.
Hiyo haina shida kwa kila copy unaandika kiapo mimi pia vyet vya shule vina majina mawili but haihusiani na hii labda viwe na majina tofauti like huku unaitwa juma alafu unataka uandike aisha hiyo ni kuharibu.. Pil index number hazifanan na za mwngne so wor not
 
Kama anachet cha kuzaliwa apeleke pia nakala zake zote mfano vyeti pia na hizo id nyngne apeleke nakala. Then jina lake la kwanza,pili jina la pili la baba, tatu jina la ukoo bila hivyo hasaidiki coz majina hayo matatu ni muhimu kuyapeleka... Sidhani kama kuna mtu hana hayo majina matatu... Akipeleka chet cha kuzaliwa itarahisisha apewe huduma haraka

Asante.

Sasa mfano, siku nikiombwa Cheti cha NIDA na vingine si itaonekana Niko na majina tofauti!?

Mfano, vyeti vya shule ni majina mawili tu Computer Billionaire

Sasa NIDA yakiwa matatu si wanaweza niweka kwenye vyeti feki au incomplete, mkuu!?

Sasa NIDA wanataka yawe hivi "Computer Cash Billioner"

Asante
 
Hiyo haina shida kwa kila copy unaandika kiapo mimi pia vyet vya shule vina majina mawili but haihusiani na hii labda viwe na majina tofauti like huku unaitwa juma alafu unataka uandike aisha hiyo ni kuharibu.. Pil index number hazifanan na za mwngne so wor not

Ok, asante
 
Asante.

Sasa mfano, siku nikiombwa Cheti cha NIDA na vingine si itaonekana Niko na majina tofauti!?

Mfano, vyeti vya shule ni majina mawili tu Computer Billionaire

Sasa NIDA yakiwa matatu si wanaweza niweka kwenye vyeti feki au incomplete, mkuu!?

Sasa NIDA wanataka yawe hivi "Computer Cash Billioner"

Asante
Hapana coz ni kosa lililofanyika zaman so swala n index number kama vinatumika na watu wawil ww n fek rafik
 
Back
Top Bottom