Vitabu vya Secondary vya TIE

Msiri

Member
Jan 10, 2010
97
83
Kuna wanafunzi ambao au ndio wanaingia Secondary, au wanavuka kutoka kidato kimoja kwenda kingine. Katika hali zote, kuna mahitaji ya kununua vitabu vipya vya masomo kwa wale wanaoendelea na shule.

Kutokana na bajeti ya vitabu kuwa kipengele, ingekuwa bora kwa yule anayeenda kidato cha juu, kuuza vitabu vyake kwa yule anayeingia kidato cha chini.

Hivyo uzi huu ni kuwashawishi wale wenye vitabu vya Secondary ambavyo hawavihitaji tena kuweka titles za vitabu, bei na njia ya mawasiliano ili amsaidie mzazi/mwanafunzi ambaye hawezi kununua vitabu vipya 15 kwa mkupuo.

Nawakilisha.
 
Vitabu vya TIE vya Sciences na Hisabati shuleni vipo vya kutosha sana, mtoto anaweza kuazima kwenye library ya shule.

Tatizo lipo kwenye vitabu vya masomo ya sanaa. Hapo ndipo mzazi anapaswa kutia nguvu kuvipata.
 
Hata vya masomo ya sanaa vipo,labda mafunzo ya amali
 
Back
Top Bottom