Vitabu kumi bora vilivyonunuliwa na kusomwa zaidi duniani, umesoma vingapi kati ya hivyo?

Ni kweli na hata mm nimeligundua hilo. Lakini ni vipi vitabu 5 unadhani bora zaidi ili nivitafute?

Nitaendelea kukuangusha tu kwa kuwa nitakupa jibu hilo hilo kila wakati. Nimesoma Think Big, The power of positive think, Rich daddy Poor daddy, The secret na vingine vingi ukiacha nilivyovitaja hapo juu na vile vya kitaaluma lakini mwisho wa siku, THINK AND GROW RICH kitabakia kuwa kitabu bora kwangu.
 
Watakuja kutukana na kusema wanaonewa bila kuuliza utafiti umefanyika wapi.
Kuna wakati hutakiwi kutanguliza hisia zako za kiimani. Unakosea sana kufanya hivyo!


Mie ni muislam, na wala sishangai hapo kwanini Quran haipo. Ila ningeshangaa kwanini ingekuwepo hapo.
 
Ethos mkuu nimejaribu kutafuta link ya alchemist siipati ya kudownload kama unaweza nitumia mkuu
 
me nyingi nmeangalia series zake nahisi nmesoma kitsbu kizima kwa kuangalia series na movie zake
 
Imenibidi ni google ili nikajihakikishishie. Sasa nimegundua ni kwa sababu wanazungumzia mauzo ya vitabu. Kuhusu Korani mostly inatolewa bure tu na makampuni(matajiri) kama sadaka.

According to Guinness World Records, the Bible is the BEST-SELLING BOOK of all time with over 5 billion COPIES SOLD and distributed

list of the most read books in the world based on the number of copies each BOOK SOLD over the last 50 years.)
 
23652d31c269e3b6906d5e7275a03046.jpg


Binafsi nimesoma

1.The Davinci Code

2.The Alchemist

3. Bible-Zijamaliza

Mwenye soft Copy ya hivo vilivobaki na umevisoma share hapa please


Sincerely,


Ethos.
mkuu kitafute na THE LOST SYMBOLS-dan brown
 
Back
Top Bottom