Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,766
- 894
Mkuu, hayo ni maneno yako naona umeamua kujifurahisha tu na kujifarijiUsiwe na wasiwasi Mkuu. Wakimmaliza Ghadaff, wanakuja kwa Al Bashir....Sasa sijui Libya ni mpaka upi wanaweka kuzuia Uislaam? Mbona mwenzetu tayari umeshakuwa Muislaam?Wakati Osama anashambulia Kenya na Tanzania, alikuwa akiishi Sudan. Hata kama ungelikuwa ni wewe na una uwezo wa nchi za NATO, ungelifanya hivyohivyo. Ila maadam unafikiria elimu hiyo itakufanya upambane na USA/NATO, basi subiri uone Osama mwingine mwili wake ukilishwa Samaki huko baharini......Ahh, by the way, Wachina wameshachoshwa na utekaji Meli unaofanywa na Wasomali. Wameanza kupanga/kufikiria uwezekano wa kuivamia nchi nzima na kuweka adabu. Pesa wanayo, watu wanao na mkiwauwa ndiyo kwanza wanashukuru maana mnawapunguzia idadi ya watu. Nia ya kufanya hivyo wanayo na sababu wanayo maana Meli zao zilizoshiba bidhaa, zinakwama kwenda na kutoka China. Subiri sasa uone KIBANO kitakachoshuka maana kwa ukatili, hivi vijamaa havijambo. Vitahakikisha kama ikibidi, vinauwa hadi MIJUSI ya Somalia......