Vita baina ya CHADEMA na CCM yapamba moto Moshi Mjini

Dec 5, 2009
65
23
Wakuu amani kwenu
Nimefanikiwa kulibamba TAMKO la katibu wa CHADEMA mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Basil Lema alilolisoma mbele ya wandishi wa habari mjini Moshi.

Naliweka hapa kwa manufaa ya wasomaji wetu.

Hakika Moshi sasa ni Moto.

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO – CHADEMA
MKOA WA KILIMANJARO
TAARIFA KWA UMMA
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo – CHADEMA mkoa wa Kilimanjaro kimelazimika kujibu TAMKO la kizushi, upotoshaji na uchochezi lililotolewa na Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro tarehe 27/3/2011. Katika TAMKO hilo Kazidi pamoja na kujitahidi kutetea uporaji wa mali za umma uliofanywa na chama chake pia alikituhumu chama chetu kwa kuandaa wananchi kwenda Halmashauri kufanya fujo katika kikao cha baraza la madiwani cha tarehe 31/3/2011. Amekituhumu pia chama chetu kuwa kimejiandaa kufanya vurugu na kuharibu majengo na mali za Halmashauri ya Manispaa ya Moshi.

Tumelazimika kujibu hoja hizi pamoja na ile iliyotolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi Bi Bernadeta Kinabo alipotoa maelezo kwa vyombo vya habari kuwa ameahirisha kikao cha baraza kwa kuwa amejiridhisha kuwa CHADEMA wamejiandaa kuvunja amani katika kikao hicho. "Kwa mamlaka niliyo nayo ninaahirisha kikao cha baraza kwa kuwa kuna taarifa za kutosha kuwa kutatokea umwagaji damu. CHADEMA wameandaa vijana waje kufanya vurugu katika kikao hicho" nimenukuu sehemu ya hotuba ya Kinabo kwa wandishi wa habari.

Kwa kuanza na hoja ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi ambaye ni katibu wa baraza la madiwani. Ninapenda kutamka maneno ya masikitiko yangu kwake kwa namna alivyoonyesha na anavyoonyehsa dharau ya wazi wazi kwa Mstahiki Meya na waheshimiwa madiwani wa Manispaa ya Moshi. Kwa hakika lazima kuna mtu yuko nyuma yake katika kutekeleza dharau hii. Haiwezekani kiburi hiki kikakosa mizizi mirefu kutoka katika mfumo wa utawala wa nchi.

Itakumbukwa kuwa Kinabo akiwa Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Moshi Mjini alifanya vitendo vingi na kutoa maneno mengi yenye lengo la kukikandamiza chama chetu CHADEMA na kuipendelea wazi wazi CCM. Katika maneno na matendo yake, Kinabo hakuwahi kuficha ukada wake kwa Chama Cha Mapinduzi hata siku moja. Hili amelifanya toka siku ya kwanza aliporipoti hapa mjini Moshi. Hakuna mashaka yoyote kuwa huo ndio wajibu wa msingi uliomleta Kinabo mjini Moshi.

Nataka umma ujue kuwa magumu tuliyovumilia katika uchaguzi Mkuu uliopita ni makubwa na ya kwamba hatutaki hata siku moja kuyakumbuka. Tunamshukuru Mungu kuwa tumejitahidi sana kuyasamehe na kuyasahau. Tulipigwa, tulitukanwa, tulifedheheshwa, tulidhalilishwa, tulibezwa, tulidharauliwa na tulionewa sana pamoja na hayo hatukumwaga damu ya wananchi wa Moshi.

CHADEMA kama chama kinacholinda na kutetea amani kivitendo hakikumwaga damu wakati kilipokuwa kinaonewa na kuhujumiwa katika kampeni, iweje kije kumwaga damu wakati kinaongoza baada ya kuaminiwa na kupewa ushindi mkubwa. Watu wa Moshi walituchagua baada ya kufurahishwa na ilani yetu na namna tulivyoshinda majaribu yote ya uchokozi tuliyofanyiwa na CCM, na Msimamizi wa uchaguzi (Bi Kinabo). CHADEMA tunalinda na kutetea amani kivitendo. Hatufanyi usanii wala mazingaombwe katika utetezi wa amani. Amani ya kweli haiwezi kupatikana bila kujengwa katika misingi ya haki. CCM inapohubiri amani bila kutoa haki kwa watanzania wanafanya mazingaombwe ya kawaida tu.

Haiingia akilini kwamba baada ya kushinda na kwamba sasa tunasubiriwa tutekeleze ahadi zote tulizoahidi kwa wapiga kura, etI ndo tumezinduka na kukumbuka kuwa tunatakiwa tumwage damu. Ninamtaka Kinabo aache mara moja kufanya kazi zake kwa kuongozwa na CCM. Kwa nini Kinabo anakwepa vikao halali kama kweli ndani ya kile anachokitetea kwa propaganda dhidi ya CHADEMA ni kitakatifu?

Katibu wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro anasema CHADEMA wamejiandaa kuharibu mali na majengo ambayo CCM wanayakalia kinguvu. Sielewi ni kwa vipi madiwani wa CHADEMA wataharibu mali walizopewa dhamana ya kuzilinda. Kazidi (Katibu wa CCM mkoa Kilimanajro) anaendelea kusema kuwa watazilinda mali zao hizo kwa nguvu zao zote na ya kwamba wamekwisha viagiza vyombo vya usalama kuwachukulia hatua kali wale wote watakaothubutu kufanya vurugu kwenye mali hizo. Kama wanamiliki mali hizi kihalali huu mchechetio unatoka wapi?

Ninamwambia Kazidi kuwa zoezi la kuandaa vijana wa kumwaga damu linafahamika wazi kuwa linatekelezwa na Chama Cha Mapinduzi na hakuna wakati wowote ambapo CHADEMA ilikwishawaza kufanya uchafu huo. CHADEMA inajivunia Nguvu ya Umma itokanayo na utetezi wake uliotukuka kwa maslahi ya watanzania wote hasa masikini ambao kwa ujumla wao wametelekezwa na CCM.

Kazidi akumbuke namna vijana wa UV-CCM walipotoka Singa kufundishwa ukakamavu mwaka jana walivyotoa kichapo njia yote toka hospitali ya KCMC hadi katikati ya mji wa Moshi. Kazidi akumbuke kuwa hadi leo hata chama chake hakijaiomba hospitali ya KCMC msamaha kwa kosa la vijana hao kuvamia kituo cha damu salama na kumwaga damu iliyokuwa imetayarishwa kwa ajili ya kuyaokoa maisha ya wagonjwa wa kanda ya Kaskazini.

Tunapendwa si kwa ubabe wetu wala kwa sura zetu bali kutokana na namna tunavyothubutu kupambana na mafisadi na wezi wa rasilimali za nchi. Jambo hili pamoja na uwezo mkubwa wa kufanya siasa za haki ndiyo vinavyotutofautisha na CCM. Haiwezekani tena CCM ikajivua gamba na kuanza kufanya siasa za haki hata ndani ya chama chenyewe na wala kamwe CCM ilikofikia sasa haitaweza tena kutetea maslahi ya watanzania. Hii ni kutokana na ukweli kwamba CCM imetekwa na mafisadi na lazima ilinde maslahi ya mafisadi hao. CCM haiwezi kamwe kufurukuta mbele ya mafisadi, la sivyo itakufa kifo cha kawaida.

CHADEMA inapendwa na itaendelea kupendwa sana.
Tutaendela kutekeleza wajibu wetu wa kuwatetea wanyonge wa nchi hii kila wakati na kila mahali.

Tutaendela kuzuia wizi, uporaji na ufisadi wa kila namna katika nchi hii wakati wote na kila mahali.

Tutaendela kupiga kelele dhidi ya uovu, uonevu na uvunjaji wa haki za binadamu kila siku na kila mahali.

Tumekuwa tukiyafanya hayo! Tunayafanya hayo! na tutaendela kuyafanya hayo! Mpaka Kieleweke!

Mungu ibariki Tanzania
Mungu Ibariki CHADEMA
Asanteni Kwa kunisikiliza!!!!

Basil Lema
KATIBU (M)
 
AHSENTE LEMA HAYA NDIO MAJUKUMU YETU NA TUTAENDELEA KUFANYA KAZI YA UMMA

mpaka kieleweke
 
Duh,so hawatapewa nafasi ya kukaa na kunyang'anya mali za wizi za ccm?
Ndo tuseme wamefungwa mdomo hivo au nini kinaendelea baada ya hapa?
 
Hayo maneno niliyo-bold kwa red colour nimeyapenda....No one can stop us...go CDM....
 
ccm mmeshindwa kuongoza Tanzania, mmeshindwa kufanikiwa kueneza udini sasa mnataka kuleta kugawa makabila sio? Tunajua kwanini serikali ya ccm inataka sana kuleta fujo Kilimanjaro, Arusha, Mwanza, Mara, Shinyanga, Mbeya, Iringa, Ruvuma, Moro, Pwani, Kagera na Moro. Kitu ni kimoja tu, hii miji yote ni Strongo Hold za Chadema na ccm wamekwesha. Wananchi wameshaelimika na hawata rudi nyuma tena. Ushahuri kwa cdm ni kukusanya docs zote na kupeleka UN na Human Right Court kuwashitaki wote wachochozi Tanzania.

Watanzania msikubali kugawanywa na ccm. Tutaendelea kupamba na mapinduzi ya kumwondoa kikwete hata kama mkitumia dirty tricks nchini​
 
  • Thanks
Reactions: LAT
wavueni gamba hao CCM wasije kiua chama chao pamoja na mali chache zilizosalia za umma..walikula ya mbuzi ...
 
mbona jamaa hajataja kuwa waliibiwa kura? mbona kasema tu tulitukanwa, tulifedheheshwa, tulidhalilishwa, tulibezwa, tulidharauliwa na tulionewa lakini kuwa waliibiwa kura hasemi? au kuibiwa mnako kusema ni porojo tu huku mkijua hamkushinda?
 
wavueni gamba hao CCM wasije kiua chama chao pamoja na mali chache zilizosalia za umma..walikula ya mbuzi ...
 
Wakuu amani kwenu
Nimefanikiwa kulibamba TAMKO la katibu wa CHADEMA mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Basil Lema alilolisoma mbele ya wandishi wa habari mjini Moshi.

Naliweka hapa kwa manufaa ya wasomaji wetu.

Hakika Moshi sasa ni Moto.

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO – CHADEMA
MKOA WA KILIMANJARO
TAARIFA KWA UMMA
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo – CHADEMA mkoa wa Kilimanjaro kimelazimika kujibu TAMKO la kizushi, upotoshaji na uchochezi lililotolewa na Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro tarehe 27/3/2011. Katika TAMKO hilo Kazidi pamoja na kujitahidi kutetea uporaji wa mali za umma uliofanywa na chama chake pia alikituhumu chama chetu kwa kuandaa wananchi kwenda Halmashauri kufanya fujo katika kikao cha baraza la madiwani cha tarehe 31/3/2011. Amekituhumu pia chama chetu kuwa kimejiandaa kufanya vurugu na kuharibu majengo na mali za Halmashauri ya Manispaa ya Moshi.

Tumelazimika kujibu hoja hizi pamoja na ile iliyotolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi Bi Bernadeta Kinabo alipotoa maelezo kwa vyombo vya habari kuwa ameahirisha kikao cha baraza kwa kuwa amejiridhisha kuwa CHADEMA wamejiandaa kuvunja amani katika kikao hicho. “Kwa mamlaka niliyo nayo ninaahirisha kikao cha baraza kwa kuwa kuna taarifa za kutosha kuwa kutatokea umwagaji damu. CHADEMA wameandaa vijana waje kufanya vurugu katika kikao hicho” nimenukuu sehemu ya hotuba ya Kinabo kwa wandishi wa habari.

Kwa kuanza na hoja ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi ambaye ni katibu wa baraza la madiwani. Ninapenda kutamka maneno ya masikitiko yangu kwake kwa namna alivyoonyesha na anavyoonyehsa dharau ya wazi wazi kwa Mstahiki Meya na waheshimiwa madiwani wa Manispaa ya Moshi. Kwa hakika lazima kuna mtu yuko nyuma yake katika kutekeleza dharau hii. Haiwezekani kiburi hiki kikakosa mizizi mirefu kutoka katika mfumo wa utawala wa nchi.

Itakumbukwa kuwa Kinabo akiwa Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Moshi Mjini alifanya vitendo vingi na kutoa maneno mengi yenye lengo la kukikandamiza chama chetu CHADEMA na kuipendelea wazi wazi CCM. Katika maneno na matendo yake, Kinabo hakuwahi kuficha ukada wake kwa Chama Cha Mapinduzi hata siku moja. Hili amelifanya toka siku ya kwanza aliporipoti hapa mjini Moshi. Hakuna mashaka yoyote kuwa huo ndio wajibu wa msingi uliomleta Kinabo mjini Moshi.

Nataka umma ujue kuwa magumu tuliyovumilia katika uchaguzi Mkuu uliopita ni makubwa na ya kwamba hatutaki hata siku moja kuyakumbuka. Tunamshukuru Mungu kuwa tumejitahidi sana kuyasamehe na kuyasahau. Tulipigwa, tulitukanwa, tulifedheheshwa, tulidhalilishwa, tulibezwa, tulidharauliwa na tulionewa sana pamoja na hayo hatukumwaga damu ya wananchi wa Moshi.

CHADEMA kama chama kinacholinda na kutetea amani kivitendo hakikumwaga damu wakati kilipokuwa kinaonewa na kuhujumiwa katika kampeni, iweje kije kumwaga damu wakati kinaongoza baada ya kuaminiwa na kupewa ushindi mkubwa. Watu wa Moshi walituchagua baada ya kufurahishwa na ilani yetu na namna tulivyoshinda majaribu yote ya uchokozi tuliyofanyiwa na CCM, na Msimamizi wa uchaguzi (Bi Kinabo). CHADEMA tunalinda na kutetea amani kivitendo. Hatufanyi usanii wala mazingaombwe katika utetezi wa amani. Amani ya kweli haiwezi kupatikana bila kujengwa katika misingi ya haki. CCM inapohubiri amani bila kutoa haki kwa watanzania wanafanya mazingaombwe ya kawaida tu.

Haiingia akilini kwamba baada ya kushinda na kwamba sasa tunasubiriwa tutekeleze ahadi zote tulizoahidi kwa wapiga kura, etI ndo tumezinduka na kukumbuka kuwa tunatakiwa tumwage damu. Ninamtaka Kinabo aache mara moja kufanya kazi zake kwa kuongozwa na CCM. Kwa nini Kinabo anakwepa vikao halali kama kweli ndani ya kile anachokitetea kwa propaganda dhidi ya CHADEMA ni kitakatifu?

Katibu wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro anasema CHADEMA wamejiandaa kuharibu mali na majengo ambayo CCM wanayakalia kinguvu. Sielewi ni kwa vipi madiwani wa CHADEMA wataharibu mali walizopewa dhamana ya kuzilinda. Kazidi (Katibu wa CCM mkoa Kilimanajro) anaendelea kusema kuwa watazilinda mali zao hizo kwa nguvu zao zote na ya kwamba wamekwisha viagiza vyombo vya usalama kuwachukulia hatua kali wale wote watakaothubutu kufanya vurugu kwenye mali hizo. Kama wanamiliki mali hizi kihalali huu mchechetio unatoka wapi?

Ninamwambia Kazidi kuwa zoezi la kuandaa vijana wa kumwaga damu linafahamika wazi kuwa linatekelezwa na Chama Cha Mapinduzi na hakuna wakati wowote ambapo CHADEMA ilikwishawaza kufanya uchafu huo. CHADEMA inajivunia Nguvu ya Umma itokanayo na utetezi wake uliotukuka kwa maslahi ya watanzania wote hasa masikini ambao kwa ujumla wao wametelekezwa na CCM.

Kazidi akumbuke namna vijana wa UV-CCM walipotoka Singa kufundishwa ukakamavu mwaka jana walivyotoa kichapo njia yote toka hospitali ya KCMC hadi katikati ya mji wa Moshi. Kazidi akumbuke kuwa hadi leo hata chama chake hakijaiomba hospitali ya KCMC msamaha kwa kosa la vijana hao kuvamia kituo cha damu salama na kumwaga damu iliyokuwa imetayarishwa kwa ajili ya kuyaokoa maisha ya wagonjwa wa kanda ya Kaskazini.

Tunapendwa si kwa ubabe wetu wala kwa sura zetu bali kutokana na namna tunavyothubutu kupambana na mafisadi na wezi wa rasilimali za nchi. Jambo hili pamoja na uwezo mkubwa wa kufanya siasa za haki ndiyo vinavyotutofautisha na CCM. Haiwezekani tena CCM ikajivua gamba na kuanza kufanya siasa za haki hata ndani ya chama chenyewe na wala kamwe CCM ilikofikia sasa haitaweza tena kutetea maslahi ya watanzania. Hii ni kutokana na ukweli kwamba CCM imetekwa na mafisadi na lazima ilinde maslahi ya mafisadi hao. CCM haiwezi kamwe kufurukuta mbele ya mafisadi, la sivyo itakufa kifo cha kawaida.

CHADEMA inapendwa na itaendelea kupendwa sana.
Tutaendela kutekeleza wajibu wetu wa kuwatetea wanyonge wa nchi hii kila wakati na kila mahali.

Tutaendela kuzuia wizi, uporaji na ufisadi wa kila namna katika nchi hii wakati wote na kila mahali.

Tutaendela kupiga kelele dhidi ya uovu, uonevu na uvunjaji wa haki za binadamu kila siku na kila mahali.

Tumekuwa tukiyafanya hayo! Tunayafanya hayo! na tutaendela kuyafanya hayo! Mpaka Kieleweke!

Mungu ibariki Tanzania
Mungu Ibariki CHADEMA
Asanteni Kwa kunisikiliza!!!!

Basil Lema
KATIBU (M)

Nilifikiri Basil Mramba, duhh! Nikasema huyu si alishughulikiwa na JMK sasa kisha hamia Chadema. Kumbe ni Basil Lema.
 
Nimempenda muandishi wa taarifa hii, huyu amekomaa kifitna. Duuh mafahali wawili hao CDM peoples power ndiyo inayowapa kiburi na CCm nguvu ya dola ikiongozwa na taarifa za kiintelejensia.
 
CCM wanafikiri watanzania tutadanganyika milele? Daima wanapotaka kuzuia lolote wanaloona lina maslahi kwa chama cha upinzani na/au linawafunua udhaifu wao kwa wananchi wanazuia kwa kusingizia eti upinzani wanataka kufanya fujo. Mbona huko kuzuia ndio hasa kuchochea fujo? CCM mfahamu hamwezi kuwafanya watanzania kuwa wajinga siku zote. Ninyi mmelewa madaraka ya nusu karne mpaka sasa mmeacha kufikiri kwa vichwa na badala yake mnafikiri kwa tumbo mlizojaza mali za watanzania! Mnaudhi sana, lakini mwisho wenu umefika. Hamna pa kukwepea, mtaondoka tu. Mungu asikiaye kilio cha wanyonge ameona udhalimu wenu na unyanyasaji wenu kwa watu wake.
Wakuu amani kwenu
Nimefanikiwa kulibamba TAMKO la katibu wa CHADEMA mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Basil Lema alilolisoma mbele ya wandishi wa habari mjini Moshi.

Naliweka hapa kwa manufaa ya wasomaji wetu.

Hakika Moshi sasa ni Moto.

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO – CHADEMA

MKOA WA KILIMANJARO

TAARIFA KWA UMMA

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo – CHADEMA mkoa wa Kilimanjaro kimelazimika kujibu TAMKO la kizushi, upotoshaji na uchochezi lililotolewa na Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro tarehe 27/3/2011. Katika TAMKO hilo Kazidi pamoja na kujitahidi kutetea uporaji wa mali za umma uliofanywa na chama chake pia alikituhumu chama chetu kwa kuandaa wananchi kwenda Halmashauri kufanya fujo katika kikao cha baraza la madiwani cha tarehe 31/3/2011. Amekituhumu pia chama chetu kuwa kimejiandaa kufanya vurugu na kuharibu majengo na mali za Halmashauri ya Manispaa ya Moshi.

Tumelazimika kujibu hoja hizi pamoja na ile iliyotolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi Bi Bernadeta Kinabo alipotoa maelezo kwa vyombo vya habari kuwa ameahirisha kikao cha baraza kwa kuwa amejiridhisha kuwa CHADEMA wamejiandaa kuvunja amani katika kikao hicho. “Kwa mamlaka niliyo nayo ninaahirisha kikao cha baraza kwa kuwa kuna taarifa za kutosha kuwa kutatokea umwagaji damu. CHADEMA wameandaa vijana waje kufanya vurugu katika kikao hicho” nimenukuu sehemu ya hotuba ya Kinabo kwa wandishi wa habari.

Kwa kuanza na hoja ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi ambaye ni katibu wa baraza la madiwani. Ninapenda kutamka maneno ya masikitiko yangu kwake kwa namna alivyoonyesha na anavyoonyehsa dharau ya wazi wazi kwa Mstahiki Meya na waheshimiwa madiwani wa Manispaa ya Moshi. Kwa hakika lazima kuna mtu yuko nyuma yake katika kutekeleza dharau hii. Haiwezekani kiburi hiki kikakosa mizizi mirefu kutoka katika mfumo wa utawala wa nchi.

Itakumbukwa kuwa Kinabo akiwa Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Moshi Mjini alifanya vitendo vingi na kutoa maneno mengi yenye lengo la kukikandamiza chama chetu CHADEMA na kuipendelea wazi wazi CCM. Katika maneno na matendo yake, Kinabo hakuwahi kuficha ukada wake kwa Chama Cha Mapinduzi hata siku moja. Hili amelifanya toka siku ya kwanza aliporipoti hapa mjini Moshi. Hakuna mashaka yoyote kuwa huo ndio wajibu wa msingi uliomleta Kinabo mjini Moshi.

Nataka umma ujue kuwa magumu tuliyovumilia katika uchaguzi Mkuu uliopita ni makubwa na ya kwamba hatutaki hata siku moja kuyakumbuka. Tunamshukuru Mungu kuwa tumejitahidi sana kuyasamehe na kuyasahau. Tulipigwa, tulitukanwa, tulifedheheshwa, tulidhalilishwa, tulibezwa, tulidharauliwa na tulionewa sana pamoja na hayo hatukumwaga damu ya wananchi wa Moshi.

CHADEMA kama chama kinacholinda na kutetea amani kivitendo hakikumwaga damu wakati kilipokuwa kinaonewa na kuhujumiwa katika kampeni, iweje kije kumwaga damu wakati kinaongoza baada ya kuaminiwa na kupewa ushindi mkubwa. Watu wa Moshi walituchagua baada ya kufurahishwa na ilani yetu na namna tulivyoshinda majaribu yote ya uchokozi tuliyofanyiwa na CCM, na Msimamizi wa uchaguzi (Bi Kinabo). CHADEMA tunalinda na kutetea amani kivitendo. Hatufanyi usanii wala mazingaombwe katika utetezi wa amani. Amani ya kweli haiwezi kupatikana bila kujengwa katika misingi ya haki. CCM inapohubiri amani bila kutoa haki kwa watanzania wanafanya mazingaombwe ya kawaida tu.

Haiingia akilini kwamba baada ya kushinda na kwamba sasa tunasubiriwa tutekeleze ahadi zote tulizoahidi kwa wapiga kura, etI ndo tumezinduka na kukumbuka kuwa tunatakiwa tumwage damu. Ninamtaka Kinabo aache mara moja kufanya kazi zake kwa kuongozwa na CCM. Kwa nini Kinabo anakwepa vikao halali kama kweli ndani ya kile anachokitetea kwa propaganda dhidi ya CHADEMA ni kitakatifu?

Katibu wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro anasema CHADEMA wamejiandaa kuharibu mali na majengo ambayo CCM wanayakalia kinguvu. Sielewi ni kwa vipi madiwani wa CHADEMA wataharibu mali walizopewa dhamana ya kuzilinda. Kazidi (Katibu wa CCM mkoa Kilimanajro) anaendelea kusema kuwa watazilinda mali zao hizo kwa nguvu zao zote na ya kwamba wamekwisha viagiza vyombo vya usalama kuwachukulia hatua kali wale wote watakaothubutu kufanya vurugu kwenye mali hizo. Kama wanamiliki mali hizi kihalali huu mchechetio unatoka wapi?

Ninamwambia Kazidi kuwa zoezi la kuandaa vijana wa kumwaga damu linafahamika wazi kuwa linatekelezwa na Chama Cha Mapinduzi na hakuna wakati wowote ambapo CHADEMA ilikwishawaza kufanya uchafu huo. CHADEMA inajivunia Nguvu ya Umma itokanayo na utetezi wake uliotukuka kwa maslahi ya watanzania wote hasa masikini ambao kwa ujumla wao wametelekezwa na CCM.

Kazidi akumbuke namna vijana wa UV-CCM walipotoka Singa kufundishwa ukakamavu mwaka jana walivyotoa kichapo njia yote toka hospitali ya KCMC hadi katikati ya mji wa Moshi. Kazidi akumbuke kuwa hadi leo hata chama chake hakijaiomba hospitali ya KCMC msamaha kwa kosa la vijana hao kuvamia kituo cha damu salama na kumwaga damu iliyokuwa imetayarishwa kwa ajili ya kuyaokoa maisha ya wagonjwa wa kanda ya Kaskazini.

Tunapendwa si kwa ubabe wetu wala kwa sura zetu bali kutokana na namna tunavyothubutu kupambana na mafisadi na wezi wa rasilimali za nchi. Jambo hili pamoja na uwezo mkubwa wa kufanya siasa za haki ndiyo vinavyotutofautisha na CCM. Haiwezekani tena CCM ikajivua gamba na kuanza kufanya siasa za haki hata ndani ya chama chenyewe na wala kamwe CCM ilikofikia sasa haitaweza tena kutetea maslahi ya watanzania. Hii ni kutokana na ukweli kwamba CCM imetekwa na mafisadi na lazima ilinde maslahi ya mafisadi hao. CCM haiwezi kamwe kufurukuta mbele ya mafisadi, la sivyo itakufa kifo cha kawaida.

CHADEMA inapendwa na itaendelea kupendwa sana.
Tutaendela kutekeleza wajibu wetu wa kuwatetea wanyonge wa nchi hii kila wakati na kila mahali.

Tutaendela kuzuia wizi, uporaji na ufisadi wa kila namna katika nchi hii wakati wote na kila mahali.

Tutaendela kupiga kelele dhidi ya uovu, uonevu na uvunjaji wa haki za binadamu kila siku na kila mahali.

Tumekuwa tukiyafanya hayo! Tunayafanya hayo! na tutaendela kuyafanya hayo! Mpaka Kieleweke!

Mungu ibariki Tanzania
Mungu Ibariki CHADEMA
Asanteni Kwa kunisikiliza!!!!

Basil Lema
KATIBU (M)
 
ccm mmeshindwa kuongoza Tanzania, mmeshindwa kufanikiwa kueneza udini sasa mnataka kuleta kugawa makabila sio? Tunajua kwanini serikali ya ccm inataka sana kuleta fujo Kilimanjaro, Arusha, Mwanza, Mara, Shinyanga, Mbeya, Iringa, Ruvuma, Moro, Pwani, Kagera na Moro. Kitu ni kimoja tu, hii miji yote ni Strongo Hold za Chadema na ccm wamekwesha. Wananchi wameshaelimika na hawata rudi nyuma tena. Ushahuri kwa cdm ni kukusanya docs zote na kupeleka UN na Human Right Court kuwashitaki wote wachochozi Tanzania.

Watanzania msikubali kugawanywa na ccm. Tutaendelea kupamba na mapinduzi ya kumwondoa kikwete hata kama mkitumia dirty tricks nchini

Mbona ameshaondoka kwa hiari yake.!!!!!!!! Kwani wewe unamsikia akiongea tena????
 
Kazi mtindo mmoja hadi kieleweke!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeezzz Poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer!
 
Huyo mama Kinabo HAFAI kuwa mtumishi wa umma, angeenda kufanya kazi za sekretarieti na Makamba pale makao makuu Dodoma. Mkurugenzi wa Halmashauri unarudishiwa jengo na mali za Halmashauri halafu wewe unapinga? sasa yupo kwa faida ya nani? Aondolewe mara moja...
 
hivi huyu Basil Lema ni yule mwalimu wa KIBO SEC ya pale mjini moshi? shule ianayosifika kwa utovu wa nidhamu na kushika mkia kila mara!
 
Back
Top Bottom