Kwa wale ambao tunatumia public computers zilizounganishwa kwenye mtandao nafikiri wengi wamekumbana na tatizo hili: Unastukia huoni folder hata moja kutoka kwenye flashdisk yako. Alafu cha ajabu unaona .exe files zenye majina ya folders zako na icon ya folder (windows) kiasi kwamba unaweza ukafikiri ni folders!
Kuzirudisha zionekane nimekuwa nikiingia kwenye DOS, nabadilisha drive kutoka C kwenda ile ya FlashDsk; e.g. kama flash ni drive E, type E: then Enter. Baada ya hapo issue this command: attrib -s -h *.* /s /d
Folder zote zinaonekana, na-delete the .exe files manually, lakini zinarudi!!
Tafadhali kama kuna mtu anajua namna ya kumwondoa huyu kirusi asaidie! McAfee niliyonayo imeshindwa!