Chimunguru kuna gari ya Tanesco huwa inakuja kupaki sana mitaa ya kwetu halafu ni juzi tu wamehamia mabinti kama wawili mtaani kwetu kwenye hiyo nyumba inapopaki hiyo gari ya Tanesco inaweza ikawa ni sababu ya kutokatiwa umemeMjue kuna kigogo wa CCM au Tanesco kahamia au ana nyumba ndogo mpya mtaani kwenu
Chimunguru kuna gari ya Tanesco huwa inakuja kupaki sana mitaa ya kwetu halafu ni juzi tu wamehamia mabinti kama wawili mtaani kwetu kwenye hiyo nyumba inapopaki hiyo gari ya Tanesco inaweza ikawa ni sababu ya kutokatiwa umeme
Jamani kwa siku mbili mfululizo mtaani kwetu,umeme unawaka tu,kuna tatizo gani?
mkuu unakaa mitaa gani nihamie huko kabisaDah!hapo lazima mgawo mtausahau mkuu.
Hahahaha!!! Ivuga mambo mengine sio ya utani kabisa lol!!tuandamaneni...sio haki hii sisi tushazoea giza