Vipi sherehe ya ANC na ndege ya serikali?

Indume Yene

Platinum Member
Mar 17, 2008
2,950
711
Wadau, nimekutana na habari pamoja na picha from Ngowi. Kinachonishangaza ni vipi sherehe za chama cha ANC ki-prompt matumizi ya ndege ya serikali? Je ni nani karipia hizo gharama za kumsafirisha Mkapa na mkewe kwenda kwenye hizo sherehe za ANC wakati huo ndege ya serikali ikitumika?

Sina mzozo na Mkapa kwenda kumwakilisha Mwenyekiti wa CCM, lakini nachojiuliza ni nani kalipia hizo gharama huku ndege yetu ikitumika kwenda kwenye sherehe za kichama?


MKAPA+1.jpg


MKAPA+2.jpg
 
Back
Top Bottom