vipi selection za vyuo vingine?

BabJonii

Member
Aug 14, 2012
27
8
Tcu imejipanga vipi juu ya matokeo ya vyuo vingine kama SUA, (color=red)MZUMBE(color) na ARDHI? Kwa mwenye idea yanaachiwa lini asisite kutujuza.
 
Tcu imejipanga vipi juu ya matokeo ya vyuo vingine kama SUA, (color=red)MZUMBE(color) na ARDHI? Kwa mwenye idea yanaachiwa lini asisite kutujuza.

Jamani TCU hawajatoa matokeo rasmi. Acha kujihangaisha na vitu visivyokuwa na authority. Mmeandikiwa na TCU kuwa kama ukikuta YOU ARE ADMITTED subiri official notification! Just keep patience in whatever you do!
 
Back
Top Bottom