Keynes JF-Expert Member Nov 1, 2010 533 89 Nov 2, 2010 #1 Jamani naombeni taarifa kama kuna mtu mwenye data kama huyu mama kashinda maana bado tunamhitaji bungeni hata kama ni wa kijani
Jamani naombeni taarifa kama kuna mtu mwenye data kama huyu mama kashinda maana bado tunamhitaji bungeni hata kama ni wa kijani
Bantugbro JF-Expert Member Feb 22, 2009 4,476 4,250 Nov 2, 2010 #2 Alishajishindiaga matokeo yalishatoka mchana!