Mazingira
JF-Expert Member
- May 31, 2009
- 1,833
- 298
Sana sana utakachoambiwa ni kuwa Tanzania itapata misaada toka nchi za kiarabu na/au za kiislam. Yaani mpaka leo hii watu wanadhani kuwa nchi yetu itaendelezwa na umatonya?!?!
Hawa jamaa wanapenda vya bure hamna mfano. Ndo maana ikifika Ijumaa wanakwenda kupangana pale kwa Bakhresa Buguruni na nyumbani kwake kule Masaki kuomba, kufanya kazi hawataki na vibaka wengi waliojazana Kariakoo ni haohao wa dini yao. Eti wanataka chombo chao cha kujiamulia mambo yao, si wahame TZ basi waende huko kwa waarabu. Yaani walazimishe uislamu kwenye nchi ya watu wa dini nyingi. Hii hata haingii akilini.