vipi kuhusu zitto

Plato

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
420
94
je anaendelea kuwa naibu wa upinzani bungeni? Maana lissu alisema watajaza nafasi hiyo.
Na kwa zitto kupenya kwenye kamati siyo ushahidi kwamba ndoa yake na ccm bado hai.?maana ni muujiza tu kwamba cdm angechaguliwa ktk kamati.
 
Kama chama kimefuata wenstminster system..mwenyekitianakuwa kiongozi mkuu na makamu mwenyekiti ana kuwa naibu wake???

Naamini zitto anatakiwa ampishe mze arfi..heshima tu mkuu
 
Back
Top Bottom