Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vipi kuhusu Toyota Duet

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mjasiria, Sep 16, 2011.

 1. m

  mjasiria JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 3,692
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Heshima mbele wakuu. Nina mpango wa kuvuta haka kagari, naomba yeyote mwenye uzoefu na hii model atupe uzoefu wake hapa, hususani kuhusu matumizi yake ya wese, bei zake na uimara wake.

  Natanguliza shukurani zangu.
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 26,004
  Likes Received: 3,296
  Trophy Points: 280
  Tuzuri sana, ukipata ka silinda tatu utaenda hadi km 21 kwa lita
   
 3. m

  mjasiria JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 3,692
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Hivi wanaJF ni kweli kuwa ukiaondoa Bujibuji hakuna mtu mwingine mwenye habari zaidi kuhusu hili suala??!!!!!!!!!!!
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,719
  Likes Received: 2,069
  Trophy Points: 280
  hajakupa msaada unaostaili?
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 26,004
  Likes Received: 3,296
  Trophy Points: 280
  Mtoa mada anaona sifananii na makenika. Ushauri mwingine mwepesi aende wikipedia watamsaidia
   
Loading...