Vipi kuhusu dawa ya wanasiasa wanaokalia majimbo kwa miaka nenda rudi?

Malinga

Member
Nov 9, 2009
6
0
Mh Mbunge anapokalia jimbo kwa zaidi ya miaka 30, halafu hakuna lolote la maana alilolifanya! Je! kuna yeyote anaweza kunisaidia kuelewa kama chama tawala kina utaratibu wa kupima utendaji kazi wa Wabunge wake katika ngazi ya jimbo? Je! kuna namna yoyote ambayo mwananchi anaweza kumwajibisha mbunge wake, zaidi ya kusubiri ipite miaka mitano?

Wabunge wengine wanakera!. Miaka 40 bungeni, lakini ukiangalia afya za majimbo hovyoooooooooooooooo!!!!.
 
Back
Top Bottom