Hakuna anaye fafanua ufisadi pale bandarini.Tatizo ma ccm hata yakisikia ufisadi mkubwa kama huo bandarini yana ona sawa,maana yana jua kwanamna moja ama nyingine watapata mgaoKaongea ukweli mtupu Baba Kagame
Hawataki ukweli hawa.Angalia kwenye uzi huu wanavyo mshambulia Kagame.Rwanda kwa sasa is the fastest growing economy in East Afrca.Wenyewe wana ng'aa macho na ccm nambari one tu.Shame on them!Kaongea ukweli mtupu Baba Kagame
Hiyo siku Mkuu usahau kama ni maccm hayahaya yatakuwa madarakani.Yakitoka upo uwezekano huoNatamani kuona siku nchi hii ikiongozwa na mtu mwenye upeo na mwenye hofu ya MUNGU ambae atambae haki na hukumu zitakuwa dira ya utendaji wake.
Siku hiyo ni ile ya anguko kuu la maccmNatamani kuona siku nchi hii ikiongozwa na mtu mwenye upeo na mwenye hofu ya MUNGU ambae atambae haki na hukumu zitakuwa dira ya utendaji wake.
Vijana wakiacha maandamano na kuhudhuria mikutano ya vyama vya siasa na badala yake wakajikita katika kufanya kazi nchi hii itafika mbali.
Uoga huo tuache siasa muimalize nchi yetu?Vijana wakiacha maandamano na kuhudhuria mikutano ya vyama vya siasa na badala yake wakajikita katika kufanya kazi nchi hii itafika mbali.
Unatoa maelezo yasiyo husiana na wizi wa pesa za mapato ya BandariAngeweza sana tu kutoa huduma bure,na sababu zipo wazi,mfano,idadi ya wafanyakazi na vibarua wote wa bandari ya dar es salaam,ni sawa na idadi ya watumishi wote wa umma wa serikali ya rwanda,pili,idadi ya watu wote wanaoitwa wanafunzi tanzania ,anzia elimu ya awali,msingi,sekondari,vyuo vya kati,vyuo vya ufundi ,hotelia,na vyuo vikuu,jumulisha na wananchi wa manispaa ya kinondoni,kwa pamoja idadi hiyo ni sawa na wananchi wote wa nchi ya rwanda,eneo lote la nchi ya rwanda,ni sawa na nusu ya eneo la mbuga ya selou,au ni sawa na mkoa wa pwani,ukikiondoa kisiwa cha mafia,maana yake,barabara moja inayoanzia dar es salaam mpaka mwanza eneo lake ni sawa na nchi ya rwanda mara nane,hivyo hiyo barabara moja tu ukiichukua ukaipeleka rwanda,wanyarwanda watakosa mashamba na maeneo ya kufugia,kwa uwiano huu,ambao rwanda ni sawa na moja ya wilaya ndogo za tanzania ,ni dhahiri bandari ya dar es salaam inaweza wapa huuma bure wanyarwanda .
ndiyo maana ni ma giant wa AfricaKwa taarifa tu, SA wana bandari zaidi ya 15 na bado wana changamoto za kutosha sana!
Ndo mana hanenepi kwa wivu
Wale wako makini na Nchi yao.Sio hapa watu wanaangalia maslahi yao na ccm yao basiKwa taarifa tu, SA wana bandari zaidi ya 15 na bado wana changamoto za kutosha sana!
Unatoa maelezo yasiyo husiana na wizi wa pesa za mapato ya Bandari
Wale wako makini na Nchi yao.Sio hapa watu wanaangalia maslahi yao na ccm yao basi
ndiyo maana ni ma giant wa Africa