Kagame kwenye issue inayogusa taifa lake, kwamtu yeyote mwizi wa Mali ya umma hana urafiki, hakika nikiongozi wa mfano katika nchi zinazoendelea anajua wajibu wake kwa watu wake,Rwanda hakuna migogoro ya Ardhi, hakuna tofauti ya elimu inayotolewa kwa wanafunzi wa nchi yake, hapa kwetu ni vigumu kujua kipi kinachosimamiwa na mkuu wa nchi, Rwanda kinachochukiwa na mkuu wa nchi kinajulikana, hapendi rushwa wala rushwa wakijulikana wanawajibishwa, rais anawajibika kwa kadri .madaraka yake yalivyo, hapakwetu hadithi, kila idara inafanya inavyotaka, Angekuwa Kagame bandali isingerundikana mizigo, wala hadithi ya rushwa ingekuwa historia,Kagame akipewa bandari
Si agombee 2015
lakini si unafahamu record yao ya UMASIKINI? ktk kila watu wa3 wa SA kuna mtu mmoja hana kazi! Na ndio nchi inayoongoza kwa UHALIFU barani AFRICA tena wa kutumia silaha!
Web huna lolote,hata tukifanya kazi kwa bidii zote,kama mafisadi wanazichota tu nakuzitorosha itasaidia nini mkuu?Dawa hawa watoke wajaribu wengine
Ukweli ni kwamba ana uzuri wake. Ila uzuri huo unafunikwa na unafiki wake, udikteta, kiburi kisichokuwa na maana, kudharau wenzake na kujifanya anajua saaana kuliko binadamu wengine!!
kagame kwenye issue inayogusa taifa lake, kwamtu yeyote mwizi wa mali ya umma hana urafiki, hakika nikiongozi wa mfano katika nchi zinazoendelea anajua wajibu wake kwa watu wake,rwanda hakuna migogoro ya ardhi, hakuna tofauti ya elimu inayotolewa kwa wanafunzi wa nchi yake, hapa kwetu ni vigumu kujua kipi kinachosimamiwa na mkuu wa nchi, rwanda kinachochukiwa na mkuu wa nchi kinajulikana, hapendi rushwa wala rushwa wakijulikana wanawajibishwa, rais anawajibika kwa kadri .madaraka yake yalivyo, hapakwetu hadithi, kila idara inafanya inavyotaka, angekuwa kagame bandali isingerundikana mizigo, wala hadithi ya rushwa ingekuwa historia,kagame akipewa bandari
Acha unafki,viongozi wenu (magamba) wangekuwa wanaenda kutibiwa SA kama kungekuwa na huduma hovyo za kijamii. Embu tafakari kabla ya kuropoka,SA ni nchi tajiri pamoja na ukubwa wake,na hata TZ napo kunaweza kukawa na bandari hata zaidi ya 20 ni ufisadi tu wa ccm na kukosa strategies. Tumieni akili nyie ccm na siyo kila mda kuwa kishabiki. Pumbafu kabisa,mnakera kweli.
kuna wakati napata taabu sana unapojaribu kuilinganisha rwanda na tanzania kanchi ambako huwezi hata kufananisha mkoa wa tz barabara dar hadi arusha ukiiweka rwanda maana yake umeweka lami hadi vijia vya kwendea chooni kuifananisha nasi ni matusi makubwa hiyo linganisha na burundi au znz kama ingekua nchi.
anakiburi kwa kuwa ana akili..sasa wewe uwe tabulalasa kila kitu uliambiwa uliambiwa utatoa wapi kiburi
uyo kagame anawekeza fitina tu ,amna kitu, kwani hii bahari hapaafrika ipo tanzania tu ?
Kagame kwenye issue inayogusa taifa lake, kwamtu yeyote mwizi wa Mali ya umma hana urafiki, hakika nikiongozi wa mfano katika nchi zinazoendelea anajua wajibu wake kwa watu wake,Rwanda hakuna migogoro ya Ardhi, hakuna tofauti ya elimu inayotolewa kwa wanafunzi wa nchi yake, hapa kwetu ni vigumu kujua kipi kinachosimamiwa na mkuu wa nchi, Rwanda kinachochukiwa na mkuu wa nchi kinajulikana, hapendi rushwa wala rushwa wakijulikana wanawajibishwa, rais anawajibika kwa kadri .madaraka yake yalivyo, hapakwetu hadithi, kila idara inafanya inavyotaka, Angekuwa Kagame bandali isingerundikana mizigo, wala hadithi ya rushwa ingekuwa historia,Kagame akipewa bandari
Wenzako wanaongelea Port economy wewe unaleta hate propaganda,ulikimbizwa Rwanda for genocide Leo unajifanya mbongo,seems huku hawakujui na idealogue zako za interahamwe...unahitajika arusha mshamba wewe na uache kubadili I'd kila sikunasikitika watanzania tunasubiri nini kumshikisha adabu huyu nyoka wa kijani
Vijana wakiacha maandamano na kuhudhuria mikutano ya vyama vya siasa na badala yake wakajikita katika kufanya kazi nchi hii itafika mbali.
Nchi hii ina kila kitu isipokuwa uongozi tu!Kagame yupo sahihi kabisa!
Ukubwa wa nchi kama mna viongozi wenye uzalendo wasio na ubinafsi ni nafasi nzuri ya kuendelea mkuu.India,China na hata Marekani ni mifano michache tu ya nchi ikiwa kubwaKuna wakati napata taabu sana unapojaribu kuilinganisha Rwanda na Tanzania kanchi ambako huwezi hata kufananisha mkoa wa Tz barabara Dar hadi Arusha ukiiweka Rwanda maana yake umeweka lami hadi vijia vya kwendea chooni kuifananisha nasi ni matusi makubwa hiyo linganisha na Burundi au Znz kama ingekua nchi.