Vipi jairo & hosea ndiyo kisiki cha mpingo?

R71

New Member
Mar 25, 2012
2
0
Kwa muda mrefu kumekuwa na msisitizo kuhusu kujiuzuru kwa Hosea and Jairo, lakini serikali imekuwa ililifumbia macho na masikio, ingawa sijui ni kwa maslahi ya nani ? Kama mawaziri na wengine waliyohusika wamewajibishwa, na "hatua zaidi" zinatarajiwa kuchukuliwa kuhusiana na tuhuma zao, hivyo basi na hao "waheshimiwa", nao wapate kinacho stahili, ili tuwe kweli na utawala bora.
 
Back
Top Bottom