Vipi hili tangazo lingekuwa kwa Kiswahili pale Posta Mpya

vy3zmc.jpg

Tanzanian we are used to politely statements. Command statement like this one will never be accepted by our society
 
dah!

liko wapi hili bango kwa tz hapa?

au mamtoni walikojipindia?
 
Hiyo ni lugha chafu, haitakiwi kwenye jamii! That is offensive.

Andre alikuwa fed up na polite statements kama Please............. amabazo watu wamekuwa hawazifuati! Kwa akili yake akaona atumie maneno makali kufikisha ujumbe!
 
Aliyeandika tangazo ni mjinga kama tangazo lilivyo la kijinga. Wala halitakiwi popote katika dunia hii ya wastaarabu. Wala hatuhitaji kumfahamu wala kumuona huyo aliyeandika this damn things. He better goes to hell na watu watatupa tu taka pale maana aliyoandika yeye ni taka.
Aaa wap hilo tangazo ndo linawafaa hasa wahuni wahuni wote we unadhani kila mtu ni mstaarabu ndo maana ameandika uncivilized au hukusoma????
 
WanaJF kwa kushabikia upuuzi sasa hata hii mnashabikia nini ila sishangai maana waTZ ndio tulivyo mambo ya msingi huwa hatufanyi ila ya kipuuzi ndio tunakomalia inabidi tubadilike.
 
Tangazo bomba kweli. Hili linafaa kuwa pale manzese au mitaa ya vingunguti kwetu
...Tena nadhani wakilitafsiri liwe kwenye kiswahili halafu unaweka kuanzia magomeni mapipa, mwembe chai, manzese hata pale mwenge kuna watu wanatupa uchafu sielewi kama kwenye vichwa vyao kuko sawa au vipi?
 
Mimi siamini kama liko Tanzania, naona mtu kalitengeneza tuu ili kufurahisha kilinge....Tangazo gani hilo?
 
Hahahaaaaaaaaa......hakuna Tangazo kama hili laweza wekwa mahala pa wastaarabu
 
Masikini Jeuri where did u get this????? Its really funny.....i like though....
 
Back
Top Bottom