VIP Prisons coming soon in TAnzania

Hata Marekani waliwapeleka watuhumiwa wa ugaidi Guantanamo kuwatenganisha na wale wa kawaida.

Ila nina wasi wasi na hili hapa kwetu. Sijaamini bado.

Hivi kama watahukumiwa kufungwa mtawafunga jela maalumu kuogopa lawama kama watadhuruliwa? Basi anzeni kujenga gereza lao kama Guantanamo.
 
Waungwana,
Katika kuwahifadhi watuhumiwa huko "VIP remand/prisons", ni kigezo kipi kitatumika? Je ni:=
- Aina ya kosa mtu alilofanya?
-Muonekano wake ?
- Wadhifa aliokua nao?
- connections?
Hebu mwenye insights atumegee maana kwa maoni yangu hapa kuna utata kidogo.
 
Back
Top Bottom