Viongozi wetu ni wabinafsi mno hata macho wanapimia Ulaya!

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
Habari kuwa waziri mkuu aliyefurushwa na kashfa ya Richmond alikwenda Ujerumani kupima macho ni ushahidi kuwa watawala wetu ni wabinafsi. Namna hii hata madaktari wakigoma hawatashughulika kero zao kwa vile migomo yao haiwahusu.
Ajabu wanatumia pesa yetu wakituacha sisi tunakufa.
 
NILISIKITIKA SANA NILIPOSKIA AKIJINASIBU MBELE YA CAMERA ZA WAANDISHI,,...ANGEJUA,ANGEENDA KUPIMA MACHO MUHIMBILI,..anasema haumwi,ila alienda kupima tu?..KWANI KIPIMO CHA MAPIGO YA MOYO PALE MUHIMBILI KIMEHARIBIKA?.AU SI CHA KUAMINIWA?..MAANA HILI JAMBO LINAKINZANA NA MAELEZO YA WANAOMPIGIA CHAPUO KWENYE URAIS 2015..WANAOMSIFIA KWA UZALENDO WAKE,KUJALI WASIONACHO NA WANAOJITAHIDI KUMTENGA NA UFISADI!!..KWANINI ASIITWE M,BINAFSI?..ATATUFAA VP 2015,KAMA NAE ANONESHA DALILI ZA KUPENDA UTALII WA ULAYA KAMA HUYU MWENZAKE?..LOL KUMBE WOTE NI WALEWALE!!!
 
nadhani hii ni hulka ya watawala karibu wote ulimwenguni tumeona hili kule zimbabwe bw robert mugabe,power monger tumeona kwa bwana HUGO CHAVVEZ raisi wa venezuela siku hizi wanasiasa ni mabeautiful liar hivyo kuna haja ya kupaza sauti kwani watu hawa wanatumia fedha nyingi ambazo zingeweza kujenga hata hospitali huko vijijini
 
Back
Top Bottom