Viongozi wa uamsho wafikishwa mahakamani

John W. Mlacha

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
3,504
1,341
kutoka page yao ya facebook.

"TUPO MAHAKAMANI HAPA............ Ndugu Wakiisalamu.
Assalama Aleykum W.W Hapa Tupo mahakama ya Mwanakwerekwe
tunawasubiri viongozi wetu waletwe hapa.ili
tusikilize hiyo kesi na tuweze kuwachukulia
dhamana.
Ila kwa kumujibu wa wakili wetu anasema
wanashtakiwa kwa kuchochoe vurugu zanzibar. Tunaombwa waislamu tuje kwa wingi na Tuje na
vitambulisho vyetu vya Mzanzibar ikiwa vitahitajika
kuchukua dhamana.
Vile vile tunaombwa Waislamu tuchangie harakati
hizi kwani ukiachia viongozi kuna watu wengine
walokamatwa wanafika 60 wote wanahitaji msaada wetu hiyo basi baada ya muda mfupi tutaweka
acount yetu ya Tigo Pesa iliuweze kuchangia jitihada
hizi. Kwa wale ambao hawatumii huduma hii wanaweza
kuchangia kwa kupeleka mchango wao mskiti wa
mbuyuni kwa Imamu. WABILAHI TAUFIQ
TUACHIWEE......TUPUMUWEE..."
 
account ya Tigo pesa tutaileta sasa hivi ili muchangie uamsho na harakati zake japo askari alikufa zanzibar kwa kuchinjwa lakini changieni tu uamsho
 
Hao si wahuni kama mnavyodai ndo walichoma makanisa,, sasa mdhamana wa nini.

Kani pia ni lazma kutaja hayo maneno mengine wabilahi sijui,, hamna maneno mbadala ya kiswahili?
 
busara itumike, wanaohitaji mdhamana pia nao wajirekebishe wajue tunahitaji mahali salama.
 
moja ya jibu alilojibiwa mtu baada ya kuuliza kwa nini tuchangie
Akajibiw hivii
"ﺎﻤﻳﻭ ﻢﻟﺎﺳ ﺪﻴﻤﺤﻟﺍﺪﺒﻋ Said Mzezele Inaokolewa ZNZ ili irejeshe hadhi na
heshma yake ya Kiislamu, kama ilivyookolewa
Makkah zama za Mtume ili irejeshe hadhi yake.
Umeelewa? Said Mzezele"
 
Last edited by a moderator:
Kwanini msiwaache wafungwe, ili waarabu waikatie misaada Tanzania, na kuitisha maandamano yasiokwisha?
 
wagonjwa wapo wengi muhimbili na ocean road! hizo pesa za michango wale wataalam wa kuhack, wazibebe tu zikasaidie wagonjwa hossy kuliko kusaidia MAGAIDI na wavunja amani! rubbish!
 
HIVI KWA NINI HAWANYONGWI????! halafu kiswahili chenyewe nacho butu, tuachwa tupumu'we'!!! HIVI WANA MAANA GANI?? AU NDIO MAANA YA KUJITOA KWENYE MUUNGANO?? yaani kutokwenda shule ni mzigo mkubwa sana!!! sijui nani aliwaroga watu hawa??

Afanaleki....!
 
mbona wakati mnaenda kufanya fujo au wakati mnapanga mipango iyo mkiwa misikitini au majumnbani kwenu hamtushirikishi tutoe mawazo?? ila kikisha nuka ndo mnaitaji msaada wa jamii? No! No! No! kama mlivoanza malizeni ivo ivo...
 
hakuna kuhema wala zamana kwa wahuni , weka hako kanamba kako katigo tujisevie hizo hella za wajinga, ndioutajua watu wanaakili zaid yenu msiopenda shule.
 
kutoka page yao ya facebook.

"TUPO MAHAKAMANI HAPA............ Ndugu Wakiisalamu.
Assalama Aleykum W.W Hapa Tupo mahakama ya Mwanakwerekwe
tunawasubiri viongozi wetu waletwe hapa.ili
tusikilize hiyo kesi na tuweze kuwachukulia
dhamana.
Ila kwa kumujibu wa wakili wetu anasema
wanashtakiwa kwa kuchochoe vurugu zanzibar. Tunaombwa waislamu tuje kwa wingi na Tuje na
vitambulisho vyetu vya Mzanzibar ikiwa vitahitajika
kuchukua dhamana.
Vile vile tunaombwa Waislamu tuchangie harakati
hizi kwani ukiachia viongozi kuna watu wengine
walokamatwa wanafika 60 wote wanahitaji msaada wetu hiyo basi baada ya muda mfupi tutaweka
acount yetu ya Tigo Pesa iliuweze kuchangia jitihada
hizi. Kwa wale ambao hawatumii huduma hii wanaweza
kuchangia kwa kupeleka mchango wao mskiti wa
mbuyuni kwa Imamu. WABILAHI TAUFIQ
TUACHIWEE......TUPUMUWEE..."
hao watu 60 wakati wanafanya fujo walijidai wababe sasa wamekamatwa ndo wanataka tuwasaidie! hatuwasaidii ng'o,si wameua mtu hao?tusaidie wauaji! eti accounti ya tigo pesa,yaani tutume pesa kusaidia kundi la uhalifu! kweli uamsho mna akili.
 
Back
Top Bottom