GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,006
Nashangwazwa sana kuona watanganyika wanamtukuza sana Nyerere Kwa jina jengine munamwita baba wa taifa,katika hutuba yake baba huyu ya 1995 aliongea kuhusu muungano wa tanzania.
Alitamka haya.
Ikiwa wazanzibari wataamua wenywe kujitenga bila ya kushindikizwa na taifa lolote basi waacheni wajitenge,haya maneno aliongea mbele za umma kwa kinywa kipanda.
Tumeshuhudia migogoro ya muungano tuka ufanyike muungano huu,na mwisho juzi tu katika majadiliano ya katiba wazanzibari wametamka live live kuwa muungano hawautaki.
Sasa mbona viongozi wanaulazimisha muungano,wakati baba yenu ameshatamka kuwa tukiamua kujitenga wazanzbari tuachiwe kwa nini munatulazimisha ?