mukandarasi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 932
- 275
Hawa jamaa vipi? Eti kanuni hazijawahi kuvunjwa! Wamesahau/wamejisahaulisha kanuni zinasemaje kuhusu nani alipaswa kulihutubia Bungee kwanza.Kati ya M/kiti wa tume ya katiba na Rais, na nini kilitokea?