Huyu jongo atamuamini nani, siku ya kwanza bungeni alimlilia Nyerere ili kutengeneza ulaji alimsahamu Mungu kwamba yeye ni Imamu na kiongozi wa Waislamu anayefuatwa na kundi kubwa la waislamu nyuma yake akaanza kumlilia kafiri bila ya aibu.
Leo anaenda kuisimamia batili akijuwa na kuifanya halali. amejivunjia heshima sasa anatumiliwa na Pinda na Lukuvi kwa kuanda matamko yasiyo kichwa wala miguu kisha akanasibu kuwa ni matamko ya dini.