Viongozi wa Juu wa CHADEMA Waanza ziara ya Kikazi Barani Ulaya

Wasalimie hapo Nyegezi Stendi mpya , hivi bado unauza vile vipande vya matikiti na Matango au umebadili biashara ?
Viongozi wenu hao wamewafanya mabwege wanachama wao. Wamebugia ASALI, Wakakandamiza RUZUKU na sasa wanaruka kwenda KUOMBAOMBA.

Halafu nyie Nyumbu mpo bongo mnashangilia tu kama mazuri. Pathetic
 
Mkuu 'Erythro' hii ni "Ziara" ya 'Fumbo/Mafumbo'.

Ziara ambayo Mwenyekiti wa Chama, Makamu wa Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa Chama wanaambatana kwa pamoja katika ujumbe mmoja...!

Ziara ya Italy na Ujerumani? Wamealikwa?

Kuna wajinga fulani huwa wana maswali ya kipumbavu kidogo, wakihoji ni lina patakuwepo na ziara za namna hiyo kwenye nchi kama zile za akina Hichilema, ambapo pengine kuna jambo moja au mawili ya kujifunza jinsi gani zilivyoweza kupambana na kushinda?
Hawezi kutembeza BAKULI kenye nchi masikini!!
 
Muda utajibu maswali yako
Sina shaka yoyote kuhusu "Muda kujibu..."; hofu yangu kubwa ni 'majibu' yatakayopatikana katika muda huo.

Nina mashaka makubwa sana kuhusu majibu hayo yatakayopatikana kutokana na ziara ya aina hii.
Makamu na Katibu Mkuu wanakwenda kunolewa mfumo wa nchi hizo uwaingie vizuri?

What a waste of resources, and more importantly 'Time'? Hizi ndiyo ziwe 'model' kwa hali ya waTanzania wa leo hapa?

Tuuachie "muda" uzungumze!
 
Bado sijaelewa kwanini hujaridhika na ziara hii
 
Kwa kuanzia watatembelea Italia na Ujerumani .

Taarifa kamili ya ziara hiyo ya Ghafla hii hapa

View attachment 2646728
Jamani hii ni Jamhuri ya MUUNGANO wa Tanzania, mbona upande wa pili je? Pia hakuna uwiano wa Jinsia, walau Mjumbe Minja wa Kibosho (sorry, wa Morogoro) angelikuwamo. Au yule mdada Mshashi anajataheed sana kuwasaliti wanawake wenzie kina Mdee. Lakini lakini, Dada Sherry je? Ni yule aliyemkaribisha Rais huko Moshi. You know, Sharifa, nadhani ni kabila moja na Rais lafudhi zao Kiswahili zinafanana. Hii ingetupa gender balance na muungano balance swaafi. But never mind, no peoblem; next time wakienda USA msisahau kujirekebisha.
 
Ziara inawahusu viongozi wa Juu kabisa
 
Back
Top Bottom