only83
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 5,343
- 2,525
...Katika jitihada za kulinda na kuendelea kuimarisha umoja na ushirikiano wa dini mbalimbali nchini na hasa WAISLAMU na WAKRISTO na viongozi wa dini mbalimbali wameunda kamati ndogo itakayotafuta kiini cha kupotea kwa amani na umoja nchi.
Kikao kilichofanya maamuzi haya muhimu kilifanyika leo jijini DSM. Kamati hiyo itatakiwa kutafiti na kutoa taarifa kwanini kumeanza kuwa na matukio ya kuuwawa kwa viongozi wa dini, au kujeruhiwa kwa viongozi wa dini kitu ambacho si cha kawaida hapa nchi kwetu.
Source: ITV
Kwangu mimi hii ni hatua chanya na inapaswa kupongezwa na kila mpenda amani wa Taifa hili.