habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,739
Jibu swali, unamtuma aende google ili iweje?Nenda google
Jibu swali, unamtuma aende google ili iweje?Nenda google
Wewe ndio hujielewi, utakuwaje kiongozi wa dini usikemee dhuruma, ufisadi, mauaji yanayaaminika yanafanywa na vyombo vya dola, utekaji n.k, kushindwa kuikemea serikali dhidi ya maovu yake ni kukosa uhalali wa kuwa kiongozi wa diniNahisi ujanielewa vizuri.. Take it leave it...this is Africa
Wewe tatizo lako hujielewi huna fikra huru, unafikiri kwa kutumia akili za kishabiki zisizo na fact, jaribu kuwa mtumwa wa akili zako mwenyewe, usikibali kuwa mtumwa wa wanasiasa uchwara kama mwenyekiti wa ccm taifa asiyetambua thamani ya uhai wa mwanadamuMpumbavu mbowe hapendi wakosoaji
Tatizo lako unawaza uchumia tumbo pekee badala ya kuwaza maslahi mapana ya jamii nzima ya sasa na ijayoYote nayajua...hata km Rais atakuwa mbowe maisha ni Yale Yale...jimboni kwake kuna nn?
Dogo sikia la mkuu....km huna base ya maisha kosoa tu utakavyo BT km unabase mtumishi wa umma,kiongozi wa dini,mfanyabiashara jaribu alafu utaona yatakayokupata husiwe MTU mjinga mjinga uelewi
aiseee!!Nenda google
Haki inadaiwa kwa nguvu hailetwi kwenye silver plate see you on 26/4Hii ni Afrika km we ni mfanya biashara au kiongozi wa dini kuwa makini na ukosoaji wa wazawazi kwa serikali..
Nchi zetu za kiafrika ni changa sana kisiasa uwa wanatabia ya kushughulika na wakosoaji..
Huu ni utaratibu hata wewe unayesoma hii SMS unafaweza Fanya angalia hii mifano...
Congo...katumbi kakimbia yuko south.
Tanzania...mbowe kamtimua zito,kitila.
USA: baba la siasa trump kamfukuza waziri wa nje sababu ni mpinzani ...
Majumbani..mtoto wako wa kiume akileta kibezi unamfukuza...wamama daily wanawafukuza mabinti wa kazi kutetea wadhfa...
Nyumba za ibada wanafukuzana daily...
So kwa namna hali ilivyo kuwa makini hasa km unaitegemea serikali kufanikiwa mambo yako....jiweke mbali kusiasa..husimuige mbowe ile ni field yake...
NB:Watakufirisi.
This is Africa halafu unamtaja Trump, what a shit, compose yourselfNahisi ujanielewa vizuri.. Take it leave it...this is Africa
Kwa Hiyo Mweshimiwa Jiwe Ndio Mungu Wenu!Mtoa mada umenifanya niwaze jinsi wana was Israel walivyokuwa wanafanya siasa jangwani wapo waliomkosoa Mungu na kumlalamikia kwamba kawaleta jangwani wafe bora misri ambapo walikuwa watumwa.
Mungu alichowafanya kwanza walisota jangwani miaka 40. Pili nunungunikaji na wasambaza sumu kama Lisu wakafa jangwani. So sad.
halafu uonevu huu ndiyo uishe lini??Hii ni Afrika
Kama wewe ni mfanyabiashara au kiongozi wa dini kuwa makini na ukosoaji wa wazawazi kwa serikali. Nchi zetu za kiafrika ni changa sana kisiasa uwa wanatabia ya kushughulika na wakosoaji..
Huu ni utaratibu hata wewe unayesoma hii SMS unafaweza Fanya angalia hii mifano.
Congo - Katumbi kakimbia yuko South.
Tanzania - Mbowe kamtimua Zito, Kitila.
USA: Trump kamfukuza waziri wa nje sababu ni mpinzani
Majumbani: Mtoto wako wa kiume akileta kibezi unamfukuza wamama daily wanawafukuza mabinti wa kazi kutetea wadhfa.
Nyumba za ibada wanafukuzana daily...
So kwa namna hali ilivyo kuwa makini hasa km unaitegemea serikali kufanikiwa mambo yako jiweke mbali kusiasa..husimuige mbowe ile ni field yake.
NB: Watakufilisi.
Siasa inahusu maisha ya watu wa aina zote ila uongozi wa siasa ni wa chache. Kutenga jamii Fulani isiguse masuala ya maisha yao ni kuweka rehani maishà yao ktk mikono isiyo salama.Hii ni Afrika
Kama wewe ni mfanyabiashara au kiongozi wa dini kuwa makini na ukosoaji wa wazawazi kwa serikali. Nchi zetu za kiafrika ni changa sana kisiasa uwa wanatabia ya kushughulika na wakosoaji..
Huu ni utaratibu hata wewe unayesoma hii SMS unafaweza Fanya angalia hii mifano.
Congo - Katumbi kakimbia yuko South.
Tanzania - Mbowe kamtimua Zito, Kitila.
USA: Trump kamfukuza waziri wa nje sababu ni mpinzani
Majumbani: Mtoto wako wa kiume akileta kibezi unamfukuza wamama daily wanawafukuza mabinti wa kazi kutetea wadhfa.
Nyumba za ibada wanafukuzana daily...
So kwa namna hali ilivyo kuwa makini hasa km unaitegemea serikali kufanikiwa mambo yako jiweke mbali kusiasa..husimuige mbowe ile ni field yake.
NB: Watakufilisi.
Akikujibu ni tagSiasa ni nini?