Waraka: Mambo ya hovyo yanayofanywa na serikali, viongozi wa dini mko wapi?

SIASA TZ

Senior Member
Feb 19, 2013
130
270
Ombwe la uongozi katika nchi yetu linazidi kuwa kubwa kila kukicha, misingi ya utawa bora inapukutika, nchi inaingizwa katika utawala wa kiimla kinyume na katiba ya nchi ya mwaka 1977, hili ni tatizo kubwa ambalo halitakiwi kufimbiwa macho kwa namna yoyoye na mamlaka zinazohusika pamoja na taasisi mbalimbali nchini zenye nia ya dhati ya kuiona Tanzania inaishi katika amani kama ilivozoeleka.

Yapo mambo kadha wa kadha ambayo kwa namna moja au nyingine, yanaonesha kwa undani namna misingi ya sheria inavyosiginwa na mtukufu kwa nguvu kubwa, nitaonegelea kidogo sana kwa baadhi ya mambo ambayo kama yasipongaliwa na kupigiwa kelele muda si mrefu titaingia mgogoro mkubwa wa kisiasa na kiutawala.

i) Utawala wa sheria.
Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya sheria, kiutawala nchi yetu inayo mihimili mikuu mitatu nikimaanisha Serikali, Bunge na Mahakama.

Tunaona na tunaendelea kuona namna Mtukufu huyu ambavyo ameipora nguvu mahakama, tunaona namna ambavyo amepoka ngvu ya Bunge kwa kumtumia naibu speaker ambaye nadhani kila mtu alishuhudia nguvu kubwa iiyotumika kumuingiza pale na tunaona kazi anayoifanya huyu speaker wa jimbo la Ikulu,

viongozi wetu wa dini, haya hamyaoni? Mnasuburi tuingie kwenye mtafaruku mkubwa wa kisiasa ndo muanze kusuruhisha? Taasisi mbalimbali na asasi za kiraia mko wapi?

Tunaona Kauli mbalimbali za mtukufu akitoa amri mbalimbali kama kufungua mmatairi, kufunga watu waliokamatwa na vidhibitisho bila kufanya upelelezi, anashinwa kuelewa yeye sio mahakama, yeye sio sheria, anachotakiwa kujua ni kwamba nchi hii inazo sheria,

kitu pekee ambacho angetilia mkazo ni kuzipa nguvu mahakama na mamlaka zinazohusika kama ofisi ya DPP, ili kazi hizi zote bzifanyike kwa muda mfupi kwa kuzingatia haki kwa mujibu wa sheria, lakini yeye ndo raisi, yeye ndo mahakama, yeye ndo Bunge. Hii inaenda kuleta hatari kubwa kama halitashughulikiwa haraka.

Tunaona kinachoendelea kwa Mbunge Godbless Lema, tunaona siasa zinavyopoteza haki za kimsingi za mtu, kesi yake ya kisiasa aliyopewa ina dhamana, lakini kwa nguvu ya mamlaka za juu, Lema bado yuko rumande huu mwezi wa 3, tumezibwa midomo kwa kauli za hovyo kabisa kwamba jambo kama liko mahakamani halizungumzwi, huu ni upuuzi,

Nia ya Serikali ni kumuondolea ubunge, sidhani kama ni sahihi kufikisha taifa hapa kwa sababu za kisiasa, waziri mkuu anajua huu mchezo, Mrisho Gambo anajua na ndo anaenginia picha yote wakipewa maagizo na bosi wao, kila lenye mwanzo lina mwisho pia, hayo mamlaka ni ya muda sana,

Tunaelewa Mkuu wa mkoa anavyotumia nguvu na pesa kwa kuwaagiza wanasheria wa srikali watumie mbinu zozote na vifungu vyovyote vya kisheria ili Lema afungwe, huu ni ujinga na upofu wa akili uliojawa ushenzi na fikra finyu, upumbavu wa kuchukiza usiojua nguvu ya Mungu wetu mwenye mamlaka iliyo kuu kuliko mwanadamu, Mungu ataunguruma na mtamsikia tu.

viongozi wangu wa dini huu uonevu hamuuoni? Mnadhani n chuki kiasi gani inatengenezwa ndani ya Watanzania wapenda haki? Na kazi ya mahakama na vyombo vyake ni ipi? Kwanini tutumie kodi kuwalipa kwa kazi ambayo hawaifanyi? Haya maswali yanahitaji majibu ya msingi? Kama hayatajibiwa leo ipo siku tutahitaji majibu yake.

ii) Matumizi ya madhabahu kufanya siasa.
Ni jambo linalokera kuona nyumba zetu za kuabudiwa zinatumika kama kumbi za siasa, nani kawapa mamlaka nyie viongozi wa dini kutoa nafasi kwa wanasiasa kufanya siasa katika nyumba za ibada?

Ya kaisali kwanini hapewi kaisali? Msidhani hatuelewi kinachoendelea, msidhani hatujui robbing zinazofanyika katika makanisa na misikiti yetu ili kutoa nafasi hizi, Mungu wetu hapendi, mtambue fika kwamba unafiki uu, ni chukizokubwa sana na adhabu yake ipo siku itadhihirika.

iii) Kuyumba kwa uchumi wa nchi.
Tumeona na tunaendelea kushuhudia mwenendo wa Uchumi katika nchi yetu tangu mtukufu wetu aingie madarakani, ni mwaka mmoja sasa na miezi kama 4. Uchumi wa nchi umeyumba na nchi iko katika mtikisiko mkubwa sana kwani hadi sasa nchi inakusanya wastani wa 1.1bil.

Hizi ni aibu mno kwa nchi kama hii ya Tanzania kuwa na wastani wa Tzs 1.1bil kwa mwezi, Tanzania ni net importer country, almost kla ktu tunaagiza kutoka nje ya nchi, dollar inflows zinapungua kwa kasi kitu kinachofanya dollar izidi kuanda hadi levels za Tzs 2300/USD. Tunaambiwa kuwa mfumuko wa bei umeungua kutoka levels za 5.2% to 4.1-3% najiuliza, hivi wanamdanganya nani?

Ninacholewa hizi ni political figures, ukweli upo unajulikana sema wanachotumia ni umbumbumbu wa Watanzania walio wengi, wanaficha ukweli. Inflation tunasema ni general increase of prices of goods and services( ongezeko la jumla la bidhaa na huduma) ebu jiulize, wanavyosema mfumoko wa bei umeshuka je mtaani kwako bei zikoje ukilinganisha na kipindi kama hiki cha mwaka jana? Ni kweli bei zimeshuka? Chukulia sukari, maharage, unga,mchele,chumvi n,k, je ni kweli huduma zimeshuka?

Takwimu zinaonesha makampuni zaidi ya elfu 2,000 mpaka 3,000 yamefungwa kwa kipindi cha miezi 3 from august mwaka jana, je athari zake ni zipi? Je ni watu wangapi wamepoteza ajira? Serikali inakosa kodi kiasi gani? Je kuna mikakati ya kunusuru hali kama hii? Viwanda vinavyohubiriwa hadi sasa vimefunguliwa vingapi? Tukiambiwauchumiunakua ni kweli unakua?

Kuna muunganiko wa economic growth na economic development? Kuna muunganiko kati ya kukua kwa Uchumi wa nchi na kukua kwa Uchumi wa mtu mmojammoja? Haya mambo yako sawa kabisa? Viongozi wangu wa dini ni kweli haya mambo hamyaoni na hamuwezi kupinga mipango mibovu ya kiuchumi chini ya hii Serikali? Mnajua wanatupeleka wap?

Moja ya sector zinazoingiza pesa nyingi sana ni utalii, kwa mwaka tunaingiza wastani wa usd 2.1bil dollars ambazo ni zaidi ya trillion 5 za kitanzania, hii ni zaidi ya 17% ya budget ya sasa lakini ukiangalia kwa makini unaona kabisa hakuna jitihada za makusudi na za kimkakati za kuhakikisha tunapata pesa za kutosha kutoka katika hii sector, badala yake wanazidi kuweka matozo yanayo discourage watalii,

Look at Kenya, wana average ya watalii zaidi ya 2mil ukilinganisha na 1.1mil ya wataii wanongia Tanzania hali Uganda wa na wastani wa watali zaidi ya 1.6mil, kwanini tusijiuize, kwanini wenzetu wanapata watalii wengi hali sisi tuna vyanzi vingi sana vya utalii ukilinganisha na nchi zao? (Smartness)

Serikali inahitaji usaidizi kubwa sana, vichwa vyao vinawaza kuongeza kodi kwenye sigara, mishahara ya watu kisa wanaweza kuwa na access nayo kirahis, maana yake ni kwamba, wafanyakazi wananyanyasika kwa sababu ya uvivu na uwezo mdogo wa task force ya Uchumi wa nchi. Hii viongozi wangu wa dini hamuioni?

Nyinyi mapato yenu hayajaathirika na haya Matatizo ya Serikali hii? Kwanini msiungane na kutoa mapendekezo? Kwanini msiungane na kutoa tamko juu ya mwenendo wa Uchumi nchini?? Tunaona waraka unapita wa kupongeza tunakaa tunajiuliza hivi hawa wanapongeza nini?

iv) Kushindwa kupambana na ufsadi
Moja ya agenda kubwa zilizohubiriwa wakati wa kampeni ni kupambana ufisadi kwa nguvu zote,walio wengi tunajua fika namna ufisadi unavyoathiri maisha ya watu, tunaelewa ufisadi unavyoathiri maendeleo ya nchi.

Mnyonge mnyongeni haki ya mpeni, kwa namna moja au nyingine namshukuru sana Mheshimiwa Kikwete kwa kuruhusu demokrasia itawale, hii ilifungua milango ya uwazi na hapa ndo tulipojua ufisadi hasa unaoitikisa nchi baada ya Dr Slaa kuwa mtari wa mbele katika kupamba na ufisadi na baadhi ya ufisadi ni kama ule wa

1. Deep green
2. Kagoda
3. IPTL ambao hadi sasa Zitto bado anaupigia kelele
4. Richmond
5. Escrow
6. Buzwagi (Zitto Kabwe)
7. Lugumi
8. Epa
9. Kuuzwa kwa Oyster bay
10. NSSF n.k

Ufisadi mkubwa ambao umeibuliwa kipindi cha mtukufu ni kama Lugumi na Escrow n.k

Pamoja na mbwembwe za kufungua mahakama ya mafisadi, ujiulize? Kuna udhati na nia ya wazi ya mtukufu kushughulika na ufsadi? Kweli upo?kafanya nini juu ya ufisadi ulitajwa hapo juu? Je akina Kitilya tukisema wanasota Rumande juu ya sakata la Escrow ni kweli walikuwa wenyewe?

Akina Chenge, Kilaini? Tibaijuka? Na wengine wengi tu wako wapi? Kwa nini mlimtorosha Bashir Awale? Ili kuficha ukweli? Tukisema mnawafunga akina kitilwa si kwa sababu mko serious na ufisadi ila ni kwa sababu za kisisasa sababu walikuwa kambi ya Lowasa tutakuwa tunakosea? Nchi haiwezi kuendeshwa kwa visasi!

Viongozi wangu wa dini haya yote hakuna hata mmoja anafahamu? Pesa ya mlipa kodi iliyogharamia suala la mahakama ya mafisadi iliyotumika kisiasa tukisema mtukufu ana la kijibu mbele ya safari kama Kikwete alivyo na la kujibu juu ya katiba mpya nadhani tutakuwa tuko sawa.

Sisi tunaona, tunadocument haya mambo sababu najua fika muda utafika na retrieving ya hizi document itafanyika tu kwani hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho.

Tanesco wanalia na IPTL, ghalama ya unit moja wanayouziwa na IPTL ni kubwa kuliko bei ya unit moja wanayowauzia wananchi, biashara za kimamngungomangungo kama hizi nani anaweza kuzifanya?

Bei ya manunuzi ni kubwa kuliko ya mauzo, na Rais anajua fika, mikataba hii ilisainiwa wakati mheshimiwa Kikwete akiwa nishati na madini, rais akiwa mzee Mwinyi kelele zimepigwa za kutosha lakini ni nini limefanyika hadi leo? Au hajui? Kweli nchi yetu ipo katika ombwe kubwa la uongozi.

v) Kuufuta upinzani
Nimesikitishwa sana na utetezi wa waziri mkuu alipokuwa akijibu swali la Mbowe juu ya kauli ya mtukufu ya kuufuta upinzani, waziri mkuu atambue kuwa yeye si waziri mkuu wa mtukufu ni waziri mkuu wa Tanzania, utetezi wake ni wa kiupuuzi unaolenga kupotosha uma kwa kiasi kikubwa,

Nikiangalia kwa jicho la tatu naona viongozi wote wanatumia tumbo kufikiri, sioni mwenye uchungu wa nchi hii, kama wangekuwa na uchungu wasingepambana na upinzani, wapinzani kazi byao ni kubwa sana na tumeona wakati wa kikwete, viongozi werevu hutumia wapinzani kama jicho lao la tatu ila hawa wetu wanataka kuongoa jicho la tatu, wanasahahu kuwa siku si nyingi na wao watakuwa wapinzani.

Ni akili ndogo na fupi mno kufikiri hivo, the world is watching, wanajidanganya na dola kwa kuhisi kuwa wana mamlaka ya kila kitu, la hasha, sio kweli, na upinzani mnaweza kuunyamazisha kwa muda lakini nahisi mtakubwa na kimbunga cha dunia, kimbunga kisichopenda uonevu? Tumeisani mkataba wa makubaliano ya utawaa bora chini ya umoja wa mataifa,
Je utawala bora upo? Zipo research nyingi sana zinaandaliwa juu ya mwenendo wa Tanzania katika suala la utawala bora, hii inatia doa nchi katika mambo mengi, ukilingalia katika mtazamo wa kawaida huwezi kuelewa ila athari zake ninkubwa katika levels za kibiashara, kidiplomasia n.k

Upinzani dawa yao ni kuwakabili kwa hoja na si dola, mnatumia madaraka vibaya vibaya vibaya mno na mwisho wake mtauona. Take this bold note from me.

vi) Kauli za rais
Moja ya mambo ninayoyajua ni kwamba viongozi wanaadaliwa, zao la mgogoro kamwe haliwezi kuwa na utawala bora na wenye tija, Mtukufu anatakiwa kuelewa kwamba yeye ni zao la mgogoro wa Lowasa na Kikwete, na ndo maana utawala wake utakuwa na shida sana, lakini pamoja na haya yote, kauli ni jambo la msingi sana,

Raisi amekuwa na kauli za hovyo, kauli za ajabu , kauli zisizo za kimamlaka, kauli za kuudhi, kudhoofisha badala la kufariji, kauli za kukatisha tamaa badala ya kutoa mwanga. Viongozi wangu wa dini, kwanini msimkanye huyu mtukufu? Amewashinda? Kwanini anakosea watu hivi au anajua siri ya kura ndo maana ana hasira? Ni sawa kabisa kutukana watu? raisi wa wa nchi? Hilo naliacha kwenu ila atambue kwamba, ameacha alama kubwa mkoa wa Kagera.

vii) Mgawanyo wa rasilimali za nchi na ukabila
Katika kipindi kifupi sana, tumeshudia speed kubwa ya kupeleka maendeleo sana sehemu za chato na Ruangwa kwa waziri mkuu, tunaona tasaf ilivyokita mizizi sasa kwa waziri mkuu, tunaoana duka la madawa kubwa maeneo ya chato na ruangwa, tunaona miradi mikubwamikubwa kama viwanja vya ndege na barabara pamoja na majengo ya TRA N.K ,

Unajiuliza uwanja wa ndege atapanda nani? TRA mnajenga chato na sinkatoro? Halimashauri ya chato haina uwezo wa kukusanya hata mil 400 kwa mwaka? Hizi ni akili au? Tunaona viongozi wakubwa wakiteuliwa kutoka kanda ya ziwa hasa usukumani,

Tunaona vyeo vikubwa wanapewa ndugu wa mtukufu tunaona na tunaendelea kuona nepotism inavyorudi kwa kasi kubwa na naona mbele kidogo itakavyosumbua taifa,, siku zote nitaendelea kumkumbuka baba wa taifa aiyesimama kdete na kupinga ukabila, Alikuwa na akili nyingi sana na alijua athari zake ndo maana hakuwa tayari kutetea ukabila bali kuupinga, huyu wa kwetu wa sasa amekuwa mstari wa mbele kuukumbatia kwa nguvu zote.

Tunajua ana hofu na utawala wake ndo maana anafanya yote haya, ni aina ya watu wanaolewa sifa za madaraka, anayependa kusifiwa hata kama hastahili sifa, anayejenga uadui wa papohapo unapomkosoa, hizi si tabia za viongozi, kiongozi ni mtu anayejiamini na aliye tayari kukosolewa, aiye tayari kutumia akili badala ya nguvu, huyu wa kwetu ni tatizo au laana tumepewa viongozi wa dini mna nafasi kubwa ya kuzuia rasimali za nchi kupelekwa sehemu moja ya nchi, mna nguvu ya kukemea ukabila unaokuja kwa kasi katika ofisi za uma.

viii) Hitaji la Katiba mpya
Kama kuna kipindi nchi ina dharura ya uhitaji wa katiba mpya basi ni sasa, ni wakati wa viongozi wa dini, asasi mbalimbali za kiraia na vyama vya siasa kuunganisha nguvu zetu kudai katiba mpya, mtukufu anachokifanya nimambo ya aibu mno, na nina wasiwasi mkubwa sana, madikteta wengi walianza hivihivi, walilewa madaraka, wakavunja katiba mara nyingi kama inavyowezekana,

Muda wao ulipowadia kuondoka madarakani waling'ang'ania sababu kubwa ni kubaki na security ya uraisi kwani walijua fika kwamba wakitoka pale kwenye kiti basi mkono wa sheria uutawatia hatiani, nahisi kwa ukaribu mambo haya yanainyemelea Tanzania, huyu mtukufu ni mlevi sana wa madaraka, ni mpenda sifa sana na mtu wa kujifanya anajua kila kitu kumbe hajui chochote.

Hatutataki kufika huko, ombi langu ni kutafuta namna ya kudai katiba mpya tena kwa nguvu, katiba ya Warioba sio ya change, katiba ya wananchi sio ya ccm, nchi hii itangizwa katika migogoro mikubwa sana mbeleni kwa sababu nyingi sana zinaozoonekana dhahiri za ukiukwaji wa misingi ya utawala bora na utawala wa sheria.

Bunge live kimya ila wao wanataka kila kitu wanachokifanya waonekane live, huu si upuuzi? Pamoja na yote nani kampa mamlaka hayo? Nani kampa nguvu ya kuzuia mikutano ya kisiasa hali katiba na sheria ya vyama vya siasa vinatoa rukusa? Alidai wanamchelewesha kufanya maendeleo, mwaka sasa hakuna siasa mbona na maendeleo hakuna?

Marekani na nchi za ulaya siasa zimeshamiri nchi mwao na maendeleo yanasogea kwa speed kubwa, tatizo la mtukufu ni uwezo wa kufikiri mdogo, ukosefu wa exposure na kutojiamini kwa asilimia ndo tatizo kubwa na pia mtukufu anajua ana makondokando mengi sana, njia ya Kupunguza haya mambo ni kwa njia ya kudhibiti uhuru wa habari lakini anashindwa kujua kwamba, kwa majira tuliyo nayo, kuzuia watu wasongee ni kazi ngumu sana.

Swali hili huwa najiuliza sana, kama wananchi wamekuchagua hofu ya nini? mwenye akili hupangua hoja kwa hoja si kupangua hoja kwa kutumia polisi.

Angalizo langu kwa wote wanahusika na kuandaa viongozi, chondechonde fanyeni kazi yenu, mgefanya kazi yenu tusingekuwa na kiongozi ambaye ni zao la mgogoro, inawezekana vip mtu aliyeshindwa kuongoza familia yake akaongoza nchi?? Hii ni changamoto kwenu.
 
Kuna haja ya kuanzisha mjadala wa kitaifa kuinusuru katiba ya nchi ambayo inazikwa kwa Sasa"

Namsaport rais kwa mambo mengi lakini hili la katiba na Sera mbovu za uchumi sitamsaport hata kidogo.........

Siwezi kuwa mnafiki kuna vitu rais anafanya vizuri lakini kwenye swala la democracy na economic kachemsha vibaya mno"...............

Maendeleo ni pamoja na wananchi kuwa na nguvu ya kuhoji sio barabara tu wala reli zijengwe watu wapande kwenye usafiri hata kiongozi akinyampa wako naye mle ndani wasihoji hali ya hewa mbaya eti kwa kuogopa uchochezi......................
 
Separation of power hakuna....

Kule marekani Jaji amezuia kwa muda amri ya raisi......na amesema the loudest voice under courtroom is constitution.

Juzi nilimsikia Butiku akisema " Tusingependa kuwa na vyama vinavyokataza watu kusema....tusingependa kuwa na vyama vinavyozalisha viongozi wanaokataza watu kuzungumza".
 
Naona kejeli nyingine katika huu uzi ilihali mkidai ndio demokrasia. Acha dharau kwa viongozi.
 
Katika kuandaa viongozi unamaanisha nini na huku unajua hii nchi ya kidemokrasia... Wenyewe mnadai hii nchi si ya kifalme au ni kutojitambua. Upinzani uliopo sasa hivi ni wakinafiki kwa maana ya kutokuwa na dira wakati huo huo viongozi wake wakuu ni wapiga madili wazuri tu. Mfanyabiashara ndio kiongozi wako mkuu na unategemea akikumboe.
 
Nmepita kwa page yako ila baadhi ya maeneo umeonekana mshabiki wa chama flan,ila hongera kwa ufafanuz
 
Maandishi mengi kumbe porojo tupu.

Shame on you.

baadhi ya ufisadi ni kama ule wa

1. Deep green
2. Kagoda
3. IPTL ambao hadi sasa Zitto bado anaupigia kelele
4. Richmond
5. Escrow
6. Buzwagi (Zitto Kabwe)
7. Lugumi
8. Epa
9. Kuuzwa kwa Oyster bay
10. NSSF n.k

Ufisadi mkubwa ambao umeibuliwa kipindi cha mtukufu ni kama Lugumi na Escrow n.k
 
Well said mkuu....haya yote yako wazi kabisa...
Kipindi kile tusiojielewa tulishauri wagombea urais wapimwe akili baadhi walitubeza
 
Mtoa mada ni aina ya watu na hadhina ya hili Jukwaa wengi wa watu wanaosema ukweli kwa sasa wa kuikosoa serikali wanaonekana wapinzani yani Cdm.hawa vijana wasomi wa Ccm wao chochote hata kibaya wao wanasifia ili waonekane badae wateuliwe na kupewa vyeo na kwa kuwa wapo kwenye pay loll ya buku 7 basi wao kwao maisha burudaaaann
 
Mtoa mada umeanika ukweli ambao unauma.Viongozi wa dini 95% wana kadi za Chama Cha Kijani, hawatakuelewa wanasema ati UTII mamlaka iliyowekwa.na Mungu hata kama.inaua na.kunyanyasa.RAIA wasio na hatia.Hongera sana tunahitaji vijana kama wewe kumi tu wakumsaidia Lissu.
 
Ombwe la uongozi katika nchi yetu linazidi kuwa kubwa kila kukicha, misingi ya utawa bora inapukutika, nchi inaingizwa katika utawala wa kiimla kinyume na katiba ya nchi ya mwaka 1977, hili ni tatizo kubwa ambalo halitakiwi kufimbiwa macho kwa namna yoyoye na mamlaka zinazohusika pamoja na taasisi mbalimbali nchini zenye nia ya dhati ya kuiona Tanzania inaishi katika amani kama ilivozoeleka.

Yapo mambo kadha wa kadha ambayo kwa namna moja au nyingine, yanaonesha kwa undani namna misingi ya sheria inavyosiginwa na mtukufu kwa nguvu kubwa, nitaonegelea kidogo sana kwa baadhi ya mambo ambayo kama yasipongaliwa na kupigiwa kelele muda si mrefu titaingia mgogoro mkubwa wa kisiasa na kiutawala.

i) Utawala wa sheria.
Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya sheria, kiutawala nchi yetu inayo mihimili mikuu mitatu nikimaanisha Serikali, Bunge na Mahakama.

Tunaona na tunaendelea kuona namna Mtukufu huyu ambavyo ameipora nguvu mahakama, tunaona namna ambavyo amepoka ngvu ya Bunge kwa kumtumia naibu speaker ambaye nadhani kila mtu alishuhudia nguvu kubwa iiyotumika kumuingiza pale na tunaona kazi anayoifanya huyu speaker wa jimbo la Ikulu,

viongozi wetu wa dini, haya hamyaoni? Mnasuburi tuingie kwenye mtafaruku mkubwa wa kisiasa ndo muanze kusuruhisha? Taasisi mbalimbali na asasi za kiraia mko wapi?

Tunaona Kauli mbalimbali za mtukufu akitoa amri mbalimbali kama kufungua mmatairi, kufunga watu waliokamatwa na vidhibitisho bila kufanya upelelezi, anashinwa kuelewa yeye sio mahakama, yeye sio sheria, anachotakiwa kujua ni kwamba nchi hii inazo sheria,

kitu pekee ambacho angetilia mkazo ni kuzipa nguvu mahakama na mamlaka zinazohusika kama ofisi ya DPP, ili kazi hizi zote bzifanyike kwa muda mfupi kwa kuzingatia haki kwa mujibu wa sheria, lakini yeye ndo raisi, yeye ndo mahakama, yeye ndo Bunge. Hii inaenda kuleta hatari kubwa kama halitashughulikiwa haraka.

Tunaona kinachoendelea kwa Mbunge Godbless Lema, tunaona siasa zinavyopoteza haki za kimsingi za mtu, kesi yake ya kisiasa aliyopewa ina dhamana, lakini kwa nguvu ya mamlaka za juu, Lema bado yuko rumande huu mwezi wa 3, tumezibwa midomo kwa kauli za hovyo kabisa kwamba jambo kama liko mahakamani halizungumzwi, huu ni upuuzi,

Nia ya Serikali ni kumuondolea ubunge, sidhani kama ni sahihi kufikisha taifa hapa kwa sababu za kisiasa, waziri mkuu anajua huu mchezo, Mrisho Gambo anajua na ndo anaenginia picha yote wakipewa maagizo na bosi wao, kila lenye mwanzo lina mwisho pia, hayo mamlaka ni ya muda sana,

Tunaelewa Mkuu wa mkoa anavyotumia nguvu na pesa kwa kuwaagiza wanasheria wa srikali watumie mbinu zozote na vifungu vyovyote vya kisheria ili Lema afungwe, huu ni ujinga na upofu wa akili uliojawa ushenzi na fikra finyu, upumbavu wa kuchukiza usiojua nguvu ya Mungu wetu mwenye mamlaka iliyo kuu kuliko mwanadamu, Mungu ataunguruma na mtamsikia tu.

viongozi wangu wa dini huu uonevu hamuuoni? Mnadhani n chuki kiasi gani inatengenezwa ndani ya Watanzania wapenda haki? Na kazi ya mahakama na vyombo vyake ni ipi? Kwanini tutumie kodi kuwalipa kwa kazi ambayo hawaifanyi? Haya maswali yanahitaji majibu ya msingi? Kama hayatajibiwa leo ipo siku tutahitaji majibu yake.

ii) Matumizi ya madhabahu kufanya siasa.
Ni jambo linalokera kuona nyumba zetu za kuabudiwa zinatumika kama kumbi za siasa, nani kawapa mamlaka nyie viongozi wa dini kutoa nafasi kwa wanasiasa kufanya siasa katika nyumba za ibada?

Ya kaisali kwanini hapewi kaisali? Msidhani hatuelewi kinachoendelea, msidhani hatujui robbing zinazofanyika katika makanisa na misikiti yetu ili kutoa nafasi hizi, Mungu wetu hapendi, mtambue fika kwamba unafiki uu, ni chukizokubwa sana na adhabu yake ipo siku itadhihirika.

iii) Kuyumba kwa uchumi wa nchi.
Tumeona na tunaendelea kushuhudia mwenendo wa Uchumi katika nchi yetu tangu mtukufu wetu aingie madarakani, ni mwaka mmoja sasa na miezi kama 4. Uchumi wa nchi umeyumba na nchi iko katika mtikisiko mkubwa sana kwani hadi sasa nchi inakusanya wastani wa 1.1bil.

Hizi ni aibu mno kwa nchi kama hii ya Tanzania kuwa na wastani wa Tzs 1.1bil kwa mwezi, Tanzania ni net importer country, almost kla ktu tunaagiza kutoka nje ya nchi, dollar inflows zinapungua kwa kasi kitu kinachofanya dollar izidi kuanda hadi levels za Tzs 2300/USD. Tunaambiwa kuwa mfumuko wa bei umeungua kutoka levels za 5.2% to 4.1-3% najiuliza, hivi wanamdanganya nani?

Ninacholewa hizi ni political figures, ukweli upo unajulikana sema wanachotumia ni umbumbumbu wa Watanzania walio wengi, wanaficha ukweli. Inflation tunasema ni general increase of prices of goods and services( ongezeko la jumla la bidhaa na huduma) ebu jiulize, wanavyosema mfumoko wa bei umeshuka je mtaani kwako bei zikoje ukilinganisha na kipindi kama hiki cha mwaka jana? Ni kweli bei zimeshuka? Chukulia sukari, maharage, unga,mchele,chumvi n,k, je ni kweli huduma zimeshuka?

Takwimu zinaonesha makampuni zaidi ya elfu 2,000 mpaka 3,000 yamefungwa kwa kipindi cha miezi 3 from august mwaka jana, je athari zake ni zipi? Je ni watu wangapi wamepoteza ajira? Serikali inakosa kodi kiasi gani? Je kuna mikakati ya kunusuru hali kama hii? Viwanda vinavyohubiriwa hadi sasa vimefunguliwa vingapi? Tukiambiwauchumiunakua ni kweli unakua?

Kuna muunganiko wa economic growth na economic development? Kuna muunganiko kati ya kukua kwa Uchumi wa nchi na kukua kwa Uchumi wa mtu mmojammoja? Haya mambo yako sawa kabisa? Viongozi wangu wa dini ni kweli haya mambo hamyaoni na hamuwezi kupinga mipango mibovu ya kiuchumi chini ya hii Serikali? Mnajua wanatupeleka wap?

Moja ya sector zinazoingiza pesa nyingi sana ni utalii, kwa mwaka tunaingiza wastani wa usd 2.1bil dollars ambazo ni zaidi ya trillion 5 za kitanzania, hii ni zaidi ya 17% ya budget ya sasa lakini ukiangalia kwa makini unaona kabisa hakuna jitihada za makusudi na za kimkakati za kuhakikisha tunapata pesa za kutosha kutoka katika hii sector, badala yake wanazidi kuweka matozo yanayo discourage watalii,

Look at Kenya, wana average ya watalii zaidi ya 2mil ukilinganisha na 1.1mil ya wataii wanongia Tanzania hali Uganda wa na wastani wa watali zaidi ya 1.6mil, kwanini tusijiuize, kwanini wenzetu wanapata watalii wengi hali sisi tuna vyanzi vingi sana vya utalii ukilinganisha na nchi zao? (Smartness)

Serikali inahitaji usaidizi kubwa sana, vichwa vyao vinawaza kuongeza kodi kwenye sigara, mishahara ya watu kisa wanaweza kuwa na access nayo kirahis, maana yake ni kwamba, wafanyakazi wananyanyasika kwa sababu ya uvivu na uwezo mdogo wa task force ya Uchumi wa nchi. Hii viongozi wangu wa dini hamuioni?

Nyinyi mapato yenu hayajaathirika na haya Matatizo ya Serikali hii? Kwanini msiungane na kutoa mapendekezo? Kwanini msiungane na kutoa tamko juu ya mwenendo wa Uchumi nchini?? Tunaona waraka unapita wa kupongeza tunakaa tunajiuliza hivi hawa wanapongeza nini?

iv) Kushindwa kupambana na ufsadi
Moja ya agenda kubwa zilizohubiriwa wakati wa kampeni ni kupambana ufisadi kwa nguvu zote,walio wengi tunajua fika namna ufisadi unavyoathiri maisha ya watu, tunaelewa ufisadi unavyoathiri maendeleo ya nchi.

Mnyonge mnyongeni haki ya mpeni, kwa namna moja au nyingine namshukuru sana Mheshimiwa Kikwete kwa kuruhusu demokrasia itawale, hii ilifungua milango ya uwazi na hapa ndo tulipojua ufisadi hasa unaoitikisa nchi baada ya Dr Slaa kuwa mtari wa mbele katika kupamba na ufisadi na baadhi ya ufisadi ni kama ule wa

1. Deep green
2. Kagoda
3. IPTL ambao hadi sasa Zitto bado anaupigia kelele
4. Richmond
5. Escrow
6. Buzwagi (Zitto Kabwe)
7. Lugumi
8. Epa
9. Kuuzwa kwa Oyster bay
10. NSSF n.k

Ufisadi mkubwa ambao umeibuliwa kipindi cha mtukufu ni kama Lugumi na Escrow n.k

Pamoja na mbwembwe za kufungua mahakama ya mafisadi, ujiulize? Kuna udhati na nia ya wazi ya mtukufu kushughulika na ufsadi? Kweli upo?kafanya nini juu ya ufisadi ulitajwa hapo juu? Je akina Kitilya tukisema wanasota Rumande juu ya sakata la Escrow ni kweli walikuwa wenyewe?

Akina Chenge, Kilaini? Tibaijuka? Na wengine wengi tu wako wapi? Kwa nini mlimtorosha Bashir Awale? Ili kuficha ukweli? Tukisema mnawafunga akina kitilwa si kwa sababu mko serious na ufisadi ila ni kwa sababu za kisisasa sababu walikuwa kambi ya Lowasa tutakuwa tunakosea? Nchi haiwezi kuendeshwa kwa visasi!

Viongozi wangu wa dini haya yote hakuna hata mmoja anafahamu? Pesa ya mlipa kodi iliyogharamia suala la mahakama ya mafisadi iliyotumika kisiasa tukisema mtukufu ana la kijibu mbele ya safari kama Kikwete alivyo na la kujibu juu ya katiba mpya nadhani tutakuwa tuko sawa.

Sisi tunaona, tunadocument haya mambo sababu najua fika muda utafika na retrieving ya hizi document itafanyika tu kwani hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho.

Tanesco wanalia na IPTL, ghalama ya unit moja wanayouziwa na IPTL ni kubwa kuliko bei ya unit moja wanayowauzia wananchi, biashara za kimamngungomangungo kama hizi nani anaweza kuzifanya?

Bei ya manunuzi ni kubwa kuliko ya mauzo, na Rais anajua fika, mikataba hii ilisainiwa wakati mheshimiwa Kikwete akiwa nishati na madini, rais akiwa mzee Mwinyi kelele zimepigwa za kutosha lakini ni nini limefanyika hadi leo? Au hajui? Kweli nchi yetu ipo katika ombwe kubwa la uongozi.

v) Kuufuta upinzani
Nimesikitishwa sana na utetezi wa waziri mkuu alipokuwa akijibu swali la Mbowe juu ya kauli ya mtukufu ya kuufuta upinzani, waziri mkuu atambue kuwa yeye si waziri mkuu wa mtukufu ni waziri mkuu wa Tanzania, utetezi wake ni wa kiupuuzi unaolenga kupotosha uma kwa kiasi kikubwa,

Nikiangalia kwa jicho la tatu naona viongozi wote wanatumia tumbo kufikiri, sioni mwenye uchungu wa nchi hii, kama wangekuwa na uchungu wasingepambana na upinzani, wapinzani kazi byao ni kubwa sana na tumeona wakati wa kikwete, viongozi werevu hutumia wapinzani kama jicho lao la tatu ila hawa wetu wanataka kuongoa jicho la tatu, wanasahahu kuwa siku si nyingi na wao watakuwa wapinzani.

Ni akili ndogo na fupi mno kufikiri hivo, the world is watching, wanajidanganya na dola kwa kuhisi kuwa wana mamlaka ya kila kitu, la hasha, sio kweli, na upinzani mnaweza kuunyamazisha kwa muda lakini nahisi mtakubwa na kimbunga cha dunia, kimbunga kisichopenda uonevu? Tumeisani mkataba wa makubaliano ya utawaa bora chini ya umoja wa mataifa,
Je utawala bora upo? Zipo research nyingi sana zinaandaliwa juu ya mwenendo wa Tanzania katika suala la utawala bora, hii inatia doa nchi katika mambo mengi, ukilingalia katika mtazamo wa kawaida huwezi kuelewa ila athari zake ninkubwa katika levels za kibiashara, kidiplomasia n.k

Upinzani dawa yao ni kuwakabili kwa hoja na si dola, mnatumia madaraka vibaya vibaya vibaya mno na mwisho wake mtauona. Take this bold note from me.

vi) Kauli za rais
Moja ya mambo ninayoyajua ni kwamba viongozi wanaadaliwa, zao la mgogoro kamwe haliwezi kuwa na utawala bora na wenye tija, Mtukufu anatakiwa kuelewa kwamba yeye ni zao la mgogoro wa Lowasa na Kikwete, na ndo maana utawala wake utakuwa na shida sana, lakini pamoja na haya yote, kauli ni jambo la msingi sana,

Raisi amekuwa na kauli za hovyo, kauli za ajabu , kauli zisizo za kimamlaka, kauli za kuudhi, kudhoofisha badala la kufariji, kauli za kukatisha tamaa badala ya kutoa mwanga. Viongozi wangu wa dini, kwanini msimkanye huyu mtukufu? Amewashinda? Kwanini anakosea watu hivi au anajua siri ya kura ndo maana ana hasira? Ni sawa kabisa kutukana watu? raisi wa wa nchi? Hilo naliacha kwenu ila atambue kwamba, ameacha alama kubwa mkoa wa Kagera.

vii) Mgawanyo wa rasilimali za nchi na ukabila
Katika kipindi kifupi sana, tumeshudia speed kubwa ya kupeleka maendeleo sana sehemu za chato na Ruangwa kwa waziri mkuu, tunaona tasaf ilivyokita mizizi sasa kwa waziri mkuu, tunaoana duka la madawa kubwa maeneo ya chato na ruangwa, tunaona miradi mikubwamikubwa kama viwanja vya ndege na barabara pamoja na majengo ya TRA N.K ,

Unajiuliza uwanja wa ndege atapanda nani? TRA mnajenga chato na sinkatoro? Halimashauri ya chato haina uwezo wa kukusanya hata mil 400 kwa mwaka? Hizi ni akili au? Tunaona viongozi wakubwa wakiteuliwa kutoka kanda ya ziwa hasa usukumani,

Tunaona vyeo vikubwa wanapewa ndugu wa mtukufu tunaona na tunaendelea kuona nepotism inavyorudi kwa kasi kubwa na naona mbele kidogo itakavyosumbua taifa,, siku zote nitaendelea kumkumbuka baba wa taifa aiyesimama kdete na kupinga ukabila, Alikuwa na akili nyingi sana na alijua athari zake ndo maana hakuwa tayari kutetea ukabila bali kuupinga, huyu wa kwetu wa sasa amekuwa mstari wa mbele kuukumbatia kwa nguvu zote.

Tunajua ana hofu na utawala wake ndo maana anafanya yote haya, ni aina ya watu wanaolewa sifa za madaraka, anayependa kusifiwa hata kama hastahili sifa, anayejenga uadui wa papohapo unapomkosoa, hizi si tabia za viongozi, kiongozi ni mtu anayejiamini na aliye tayari kukosolewa, aiye tayari kutumia akili badala ya nguvu, huyu wa kwetu ni tatizo au laana tumepewa viongozi wa dini mna nafasi kubwa ya kuzuia rasimali za nchi kupelekwa sehemu moja ya nchi, mna nguvu ya kukemea ukabila unaokuja kwa kasi katika ofisi za uma.

viii) Hitaji la Katiba mpya
Kama kuna kipindi nchi ina dharura ya uhitaji wa katiba mpya basi ni sasa, ni wakati wa viongozi wa dini, asasi mbalimbali za kiraia na vyama vya siasa kuunganisha nguvu zetu kudai katiba mpya, mtukufu anachokifanya nimambo ya aibu mno, na nina wasiwasi mkubwa sana, madikteta wengi walianza hivihivi, walilewa madaraka, wakavunja katiba mara nyingi kama inavyowezekana,

Muda wao ulipowadia kuondoka madarakani waling'ang'ania sababu kubwa ni kubaki na security ya uraisi kwani walijua fika kwamba wakitoka pale kwenye kiti basi mkono wa sheria uutawatia hatiani, nahisi kwa ukaribu mambo haya yanainyemelea Tanzania, huyu mtukufu ni mlevi sana wa madaraka, ni mpenda sifa sana na mtu wa kujifanya anajua kila kitu kumbe hajui chochote.

Hatutataki kufika huko, ombi langu ni kutafuta namna ya kudai katiba mpya tena kwa nguvu, katiba ya Warioba sio ya change, katiba ya wananchi sio ya ccm, nchi hii itangizwa katika migogoro mikubwa sana mbeleni kwa sababu nyingi sana zinaozoonekana dhahiri za ukiukwaji wa misingi ya utawala bora na utawala wa sheria.

Bunge live kimya ila wao wanataka kila kitu wanachokifanya waonekane live, huu si upuuzi? Pamoja na yote nani kampa mamlaka hayo? Nani kampa nguvu ya kuzuia mikutano ya kisiasa hali katiba na sheria ya vyama vya siasa vinatoa rukusa? Alidai wanamchelewesha kufanya maendeleo, mwaka sasa hakuna siasa mbona na maendeleo hakuna?

Marekani na nchi za ulaya siasa zimeshamiri nchi mwao na maendeleo yanasogea kwa speed kubwa, tatizo la mtukufu ni uwezo wa kufikiri mdogo, ukosefu wa exposure na kutojiamini kwa asilimia ndo tatizo kubwa na pia mtukufu anajua ana makondokando mengi sana, njia ya Kupunguza haya mambo ni kwa njia ya kudhibiti uhuru wa habari lakini anashindwa kujua kwamba, kwa majira tuliyo nayo, kuzuia watu wasongee ni kazi ngumu sana.

Swali hili huwa najiuliza sana, kama wananchi wamekuchagua hofu ya nini? mwenye akili hupangua hoja kwa hoja si kupangua hoja kwa kutumia polisi.

Angalizo langu kwa wote wanahusika na kuandaa viongozi, chondechonde fanyeni kazi yenu, mgefanya kazi yenu tusingekuwa na kiongozi ambaye ni zao la mgogoro, inawezekana vip mtu aliyeshindwa kuongoza familia yake akaongoza nchi?? Hii ni changamoto kwenu.
TEC, CCT, etc barua za kichungaji had aje rais muislam so disgusting!! Bado kidogo nianzishe dini yangu
 
Separation of power hakuna....

Kule marekani Jaji amezuia kwa muda amri ya raisi......na amesema the loudest voice under courtroom is constitution.

Juzi nilimsikia Butiku akisema " Tusingependa kuwa na vyama vinavyokataza watu kusema....tusingependa kuwa na vyama vinavyozalisha viongozi wanaokataza watu kuzungumza".
Butiku ,Warioba , polepole na kundi lao ni wanafiki sana , hivi huyu butiku hana mtoto apewe U- DC ili mzee afunge mdomo kama mwenzie warioba ?
 
Back
Top Bottom