Mtu wa Mungu
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 444
- 19
Inashangaza viongozi wa dini kuona hili la CDM kuandamana ndiyo inatishia amani na kulikoromea, lakini wananchi kwa makumi yao wanakufa kila siku Loliondo kwa visingizio vya tiba isiyo na leseni wala uthibitisho wa kitaalam huku serikali ikisherehekea hawa viongozi kwao si tatizo??????!!!!!!!
Hii ni nchi ya ajabu sana!!!!!!; yaani wanaopigania kuleta haki na usawa katika jamii , hao ndiyo maadui wa amani nchini???? Tukumbuke kwamba waasisi wote wa amani inayoendelea kwa kiasi kidogo sana sasa hivi wote ni marehemu!!!!!! Viongozi waliobaki wanaodai kudumisha amani huku ni washirika wa ufisadi-labda tuseme hawa viongozi wa dini wanaoona kwa macho ya mafisadi labda ni washirika wao-nani ajuaye??? SIKU ZOTE KAHUNA AMANI YA KWELI PASIPO HAKI!!! PIA SIKU ZOTE KAMA HAKUNA HAKI NA USAWA KUMILIKI NA KUNUFAIKA NA RASILIMALI ZA NCHI MTU YEYOTE MWENYE HATARAJII AMANI KUWEPO KATIKA JAMII!!!!! Kwa raia ye yote mwenye akili timamu, chama kilicho na maono ya kukwamua nchi hii ndicho kinachosakamwa utadhani ni wezi, wakati mafisadi wanaofilisi nchi hii, hao ndiyo viongozi wadumisha amani??????? SHAME TANZANIA!!!!!!!!!!!! AIBU KIONGOZI YEYOTE WA DINI AU CHAMA ANAYETAKA KUTUFANYA TUCHUKIE JITIHADA ZA KUJENGA MISINGI YA AMANI YA KUDUMU!!!!!!!!!!!