Viongozi wa CHADEMA wana mgodi wa dhahabu ndani ya Nyarugusu

Architect,, mpashe huyu mlugaluga anayetawaliwa na jazba. Mimi naleta ushahidi wa kutosha,, sasa nikishaleta, matusi haya atayaludishia kwake au? Hacheni kuninyanyapaa kisa nataka kuuanika uozo wa baadhi ya viongozi wa CDM ktk kashfa ya madini.Watafute kabisa mahali pa kuficha uso wao maana ni aibu. Tutaona.

Dume la Mende,

Kwa ushauri tu, usikurupuke kuweka post isiyo na ushahidi wa kutosha.....inaonekana umezisikia story mtaani ukakimbilia kupost hapa jukwaani na sasa unahangaika kutafuta ushaidi mwishowe unaishia kutupa mipasho tu naweka sasa hivi mala subiri naweka na kuishia kujibu post tu......cha msingi wewe ungepost na ushahidi wako kisha watu wacomment lakini kwa sasa utatukanwa weeeeeeeeeee na utaonekana huna maana

Weka ushahidi watu waudadavue sio kuleta longolongo kama za CCM
 
Tatizo umeanza na tabia ya mende, humu umepost kuhusu viongozi wa chadema, kule umepost kuhusu Kikwete, lipi ni lipi? alafu unataka kujiita eti nawewe ni great thinker, pole sana:hatari:
 
Naamini utakuwa umejibu hivihivi kwenye ile post ya mlango wa pili.

Moderators - Kwanini msiiondoe hii thread?? Huyu DM ameanzisha hii post kuyeyusha post ya mgodi wa JK huko Bukombe.
HANA LOLOTE wala USHAHIDI (Hapo kwenye red).
 
Pamoja na kumpa nafasi lakini pia aelewe mkapa anamiliki kiwira,benki m,kikwete ana migodi na waandamizi woote ccm wana scandal!...je tuanze na wapi kutoa hukumu???......
 
Naamini utakuwa umejibu hivihivi kwenye ile post ya mlango wa pili.

bila shaka umetumwa hao mafisadi walioelemewa na nguvu ya uma ndio sababu unaandika post zenye maslahi kwa mafisadi. Huna hoja kafundishwe tena.
 
HI KWA NN TUJADILI HII MADA ANATUPOTEZEA MUDA HUYU WAKATI TUNA VITU VINGI VYA KUJADILI WANAJF:tongue:
 
Mtu ukiwa mpenzi wa chadema unakuwa kipofu na hata uwezo wa kufikiri unapungua?? MNABOA SANA

Mtoa maada; hakuna tatizo wala kosa kuwa na mgodi ndugu yangu

Migodi inaanzia small scale mines mpaka Large/giant scale

Mimi mwenyewe ninayo kama mitano hivi, ndio ujasiriamali

Wala usijisumbue na evidence zozote zile, HAKUNA KESI HAPA!! HATA CHADEMA wote wangekuwa na mgodi is ok, unataka wamiliki weupe tu!
 
Toka lini mende akawa na akili ya kuongelea mambo ya binadamu?

kwa maajabu ya mungu dume la dume limetafunatafuna mpaka limefichua yaliyokuwa yamefichikana. Hawa nao watajwe kwa majina hakuna sababu ya kuficha jina la muhujumu uchumi. Kila aina ya fisadi ni adui yangu, tunaomba uwataje majina.Tusimuonee aibu mtu ambaye anatuibia watanzania. Unajua kuna vitu havihitaji ushabiki na moja wapo ni hili.
 
wanapambana na mafisadi kwa kuwa bado hawajapata nafasi ya kufisadi tanzania yetu na wanaitaka nafasi hii hata kwa damu wachaga waheeeeeeeeeed hao!
 
hivi jamani,yule aliyekuwa mgombea mwenza wa slaa ashamaliza tuition ya english pale mwanakwerekwe language school? mbona hasikiki? inaonekana jamaa kakazania buku!
 
Kama mtu ana miliki hata nchi nzima peke yake tatizo ni nini kama amevipata kwa njia halali na analipa kodi stahili ? kiongozi sio raia kama wewe ? hana haki ya kumiliki mali anazotaka yeye ambazo amezitengeneza kwa nguvu yake yeye mwenyewe ? tena wengi wamepata mali hizo kabla ya kuwa viongozi wa sehemu mbalimbali nchini haswa katika serikali .
 
Mtu ukiwa mpenzi wa chadema unakuwa kipofu na hata uwezo wa kufikiri unapungua?? MNABOA SANA

Mtoa maada; hakuna tatizo wala kosa kuwa na mgodi ndugu yangu

Migodi inaanzia small scale mines mpaka Large/giant scale

Mimi mwenyewe ninayo kama mitano hivi, ndio ujasiriamali

Wala usijisumbue na evidence zozote zile, HAKUNA KESI HAPA!! HATA CHADEMA wote wangekuwa na mgodi is ok, unataka wamiliki weupe tu!
Ndugu Waberoya, wewe ni kati ya watu nnaowaheshimia sana. Kwa kuwa umenishauri nisijisumbue na evidence zozote, wacha nikae kimya.
 
Back
Top Bottom