Mara nyingi Viongozi wanapochaguliwa ama kuteuliwa utakuta wanaapa kwa kutumia vitabu vitakatifu,yaani kama Muislamu utaapa kwa Quraan na Mkristo ataapa kwa biblia.Sasa swali linakuja wanajamii Forum tueleweshane,mbona hawa Viongozi huwa wanasahau kuwa wakati wa kuapishwa walitumia vitabu vitakatifu ila wanafisadi,wanadoans, wanadhulumu na hata kuiibia nchi ? Nielewesheni jamani