Viongozi bora wa Afrika siku zote

Hata usemeje roho yangu ni GHADAFI TU .......
Angalia kule kwao kwa Gaddaf kuna nini sasa nchi haikaliki kwa sababu ya yeye.Hiyo sifa ya namba moja inatoka wapi?Labda wewe ulikuwa unaishi mbinguni kwa hiyo ukashindwa kujua yanayotendeka hapa duniani.
 
Angalia kule kwao kwa Gaddaf kuna nini sasa nchi haikaliki kwa sababu ya yeye.Hiyo sifa ya namba moja inatoka wapi?Labda wewe ulikuwa unaishi mbinguni kwa hiyo ukashindwa kujua yanayotendeka hapa duniani.
Bado kwa Ghadafi tu....sorry . .!
 
Labda ulikuwa hujazaliwa Enzi za akina Marie Ngouabi, Abdel Nasser, Kenneth Kaunda, Houwari Boumadiane, Jerry Rawlings, Seretse Khama.....watu waliokuwa safi wenye msimamo na kuziinua nchi zao. Wewngine hata walitoa mchango mkubwa kwa ukombozi wa Afrika: Kaunda, Boumadiane, Abdel Nasser.
Ame copy tu
 
Sawa labda na wewe una akili mbovu zake za kuua watu ovyo na kuwazika kaburi moja.
Mimi naona ni wewe mwenye mawazo machafu yaliyo pitwa na wakati . ...kaa katika trush you rubish nincampup . ..
 
Hii ndio list yangu
1. J.K Nyerere
2. Haile Selasie
3. Kwame Nkurumah
4. Patric Lumumba
5. Nelson Mandela
6. Samora Machel
7. Jomo Kenyata
8. Robert Mugabe
9. Thomas Sankara
10. Muamar Gadafi
Sekou Toure hayumo kwenye lost yako?
 
Mimi naona ni wewe mwenye mawazo machafu yaliyo pitwa na wakati . ...kaa katika trush you rubish nincampup . ..
Wewe ndiye mwenye mawazo machafu unaemtetea dikteta,to hell with your stupidity.
 
6c40629ba82e1c32df62b9ca935c4f55.jpg


Huyu ndo kiongozi wa viongozi, mfalme wa wafalme wa Afrika.
 
Ghadafi aliniudhi kumsaidia nduli Idd Amin.
Kuna wengine wanampenda Gaddaf kwa sababu wameelemewa na Mvinyo haswa wa Dini hizi.

Hakufanya Jambo zuri,hata Mimi alinikera-
lakini si alikuwa anamusaidia Rafiki yake kipenzi Idd...?
 
Ukiweka orodha ya Viongozi bora Africa bila ya Kumtaja Mstahiki Dr. Fundi, Basketballer Mwanamtandao, Amiri Jeshi Mstaafu Dr. Prof Jakaya Mrisho Kikwete ni Uhayawani wa Kiwango cha Lami!
Naona Mahaba yamekuelemea!

Tehe tehe JK wa pili "Unataka kula tu bila kuliwa haiwezekani, Lazima uliwe kiduchu" kiswahili kina uchokozi wa namna yake.
 
Tunakushukuru Mleta uzi kwa Mtazamo wako!

Namba Moja-Mwl Julius kambarage Nyerere,
Alitoa Mchango Mkubwa kwa Nchi nyingi za kiafrica. Upendo wa dhati Juu ya watu ulimujaa sana huyu binadamu.
 
Back
Top Bottom