Viongozi bora wa Afrika siku zote

Hapo na mimi sielewi kwanini kamweka maana binafsi naamini MANDELA alipofungwa akatoka hakuwa yule mandela tena mpigania watu wake, pia he did nothing to Africa in General zaidi alikuwa rafiki wa makaburu alipotoka ndio maana wanampa promo hakuwa kipingamizi kwao
Nabii hakubaliki kwao mkuu, mandela haingii kwa mw nyerere hata kidogo, sioni mandela alichoifanyia africa.
 
Mkuu kuna vitu siku ungi mkono
1. Mama Ellen Jonson sijajua kwa nini awepo kundi la watu kama kina nyerere. Pia huyo kiongozi wa Mali nna mashaka.
2. Namuheshim Mandela ila ki ungozi hawezi kumzidi Nkrumah au Nyerere, au Lumumba
3. Sir Gadaffi ilipaswa awepo kwenye List.

Anyway list nzuri, watu hao walikuwa ni vingozi wazuri wenye mapungufu makubwa na walifanya makosa mengi tu, ila walikuwa wazalendo na kila walilo lifanya ilikuwa ni kwa nia safi ya maendeleo ya watu weusi wanao waongoza.
Huyo mama alipata Nobel Peace Price ya mwaka 2011 kwa mchango wake mkubwa wa kuleta amani nchini baada ya miaka mingi ya civil war, nafikiri ndio maana kawekwa hapo
 
Hii ndio list yangu
1. J.K Nyerere
2. Haile Selasie
3. Kwame Nkurumah
4. Patric Lumumba
5. Nelson Mandela
6. Samora Machel
7. Jomo Kenyata
8. Robert Mugabe
9. Thomas Sankara
10. Muamar Gadafi
Yaani mimi hapo mandela ningemueka wa mwisho au kumfuta kabisa ila hakika Mugabe ningemfuta. Dickteta ajifichiae panafricanism.
 
Ukiweka orodha ya Viongozi bora Africa bila ya Kumtaja Mstahiki Dr. Fundi, Basketballer Mwanamtandao, Amiri Jeshi Mstaafu Dr. Prof Jakaya Mrisho Kikwete ni Uhayawani wa Kiwango cha Lami!
Sidhani kama watu wa viroba na bange watakuelewa,ngoja tuone comment zao
 
Mandela kwangu atabaki kua namba moja akua na visasi ndo kitu ambacho kitambeba akuweka watu vizuizini Mandela kwangu atabaki kua Rais wangu wa kwanza Afrika
 
1: ........!!!????!!!
2: Sani Abacha - Nigeria
3: Marcias Nguema - Equatorial Guinea
4: Idd Amin Dadaa - Uganda
5: Samuel Doe - Liberia
6: Mobutu Seseseko - Zaire
7: Jean Bedel Bokassa - CAR
8: John Voster - South Africa
9: Robert Mugabe - Zimbabwe
10: Mathieu Kerekou - Benin

The worst African leaders ever; namba moja nimewaachia mjaze wenyewe!!
John pombe Magufuli.. Hapa awe namba moja
 
Hii ndio list yangu
1. J.K Nyerere
2. Haile Selasie
3. Kwame Nkurumah
4. Patric Lumumba
5. Nelson Mandela
6. Samora Machel
7. Jomo Kenyata
8. Robert Mugabe
9. Thomas Sankara
10. Muamar Gadafi
Hii ndio list sio kile kijilist muafrica ambae hata muweka kwenye list muamar gaddafi ni wakupuuza nani mpuuzi haswa naamin hata kule alipo Mungu wa miungu kampunguzia dhambi kama sio kumfutia kabsa rip nyerere father ov the nation
 
Nawaza ingetokea Magu ndo kawekwa ndani 27 na MAKABURU halafu atoke awe Rais Kama Madiba ndo aje na Wazo la Kuunda Tume ya Maridhiano na kusameheana na MAKABURU waliomtesa!
 
Nabii hakubaliki kwao mkuu, mandela haingii kwa mw nyerere hata kidogo, sioni mandela alichoifanyia africa.
Mandela sifa yake kuu japo ameteseka jela 27years alipotoka aliwasamehe akafanya maridhiano kina Nyerere wanaweza? Wameharibu nchi kwa Sera za zidumu fikra mwenyekiti akatuletea vita vya Uganda! Mandela hakuna wakufanana nae miaka minne akaacha urais
 
Huyo mama alipata Nobel Peace Price ya mwaka 2011 kwa mchango wake mkubwa wa kuleta amani nchini baada ya miaka mingi ya civil war, nafikiri ndio maana kawekwa hapo
Kwa Nobel nampongeza lakin kumbuka hata Obama alipata Nobel wakat hakuna anacho kifanya madarakani, huyu mama bado hana quality ya kukaa hapo level ya Nyerere na Mandela. Though na respect tuzo yakeya Nobel
 
Hii ndio list yangu
1. J.K Nyerere
2. Haile Selasie
3. Kwame Nkurumah
4. Patric Lumumba
5. Nelson Mandela
6. Samora Machel
7. Jomo Kenyata
8. Robert Mugabe
9. Thomas Sankara
10. Muamar Gadafi
Vipi
1. Gamel Abdul Nasser wa Misri
2. Houari Bomediene wa Algeria aliyehakikisha ana kambi za mafunzo ya kivita kwa vyama vyote vya ukombozi africa
 
Mandela sifa yake kuu japo ameteseka jela 27years alipotoka aliwasamehe akafanya maridhiano kina Nyerere wanaweza? Wameharibu nchi kwa Sera za zidumu fikra mwenyekiti akatuletea vita vya Uganda! Mandela hakuna wakufanana nae miaka minne akaacha urais
mngekua na Richard Turn bull mpaka leo
akilo zingewasogelea!!!
 
Back
Top Bottom